Watu walipigwa huko mtwara kuhakikisha gesi inakuja dar, hata baada ya hapo
1. Umeme ulikua bado unasumbua
2. Bei ya gas majumbani haijashuka
3. Na bei ya umeme haijashuka, hata baada ya bwawa la Rufiji nalo kukamilika,.
Anaenufaika na hii gesi ni nani?
Ili umtawale mtu utakavyo anza na kumnyima huduma muhimu, then mtishie usalama wakeWatu walipigwa huko mtwara kuhakikisha gesi inakuja dar, hata baada ya hapo
1. Umeme ulikua bado unasumbua
2. Bei ya gas majumbani haijashuka
3. Na bei ya umeme haijashuka, hata baada ya bwawa la Rufiji nalo kukamilika,.
Anaenufaika na hii gesi ni nani?
Gesi ya Mtwara inatumika kuzalisha umeme na viwandaniWatu walipigwa huko mtwara kuhakikisha gesi inakuja dar, hata baada ya hapo
1. Umeme ulikua bado unasumbua
2. Bei ya gas majumbani haijashuka
3. Na bei ya umeme haijashuka, hata baada ya bwawa la Rufiji nalo kukamilika,.
Anaenufaika na hii gesi ni nani?
Sema huyu janja sijawahi muelewa kabisa, sio yeye tu familia yake mzima.Namuaonaga janja janja sana. Sema anajua kucheza na akili za watu.Muulizeni jk si mnasema msafi kwa kuwa hayupo kwa sistemu? Anajua wabongo ni kama kuku tu, unampiga jiwe anavunjika mguu na kusogea mita 2 then anarudi tena ulipomvunjia mguu apate punje 2 za grain alizoziona kabla hujamvunja mguu anakuja akichechemea
Aisee! vipi nasikia Mtwara kumekuwa na investments za kutosha baada ya ishu ya gesiInahudumia Chama na Chawa wake:
We huoni Machawa wana maisha mazuri kupita Maprofesa:
Acha ujingaGesi ya Mtwara inatumika kuzalisha umeme na viwandani