ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari
Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
Sera za Tanzania hazieleweki mtu atoke ulaya kuja kuwekeza mabilion yake halafu aje aanze kusu mbuliwa kama dagoteMkuu hivi kwani hatuwezi kuwaambia hao St Thomas na Hospitali nyingine nzuri na maarufu, pia na university kufungua matawi yao hapa kwetu lakini viwango quality iwe kama kule kwao?
Labda matawi Dar, Mwanza, Arusha Dodoma iwanufaishe wengi. Kwa sababu wengine kusafiri ni shida kwenda UK, USA au India. Pia tutajifunza kutoka kwao.
Mkuu hivi kwani hatuwezi kuwaambia hao St Thomas na Hospitali nyingine nzuri na maarufu, pia na university kufungua matawi yao hapa kwetu lakini viwango quality iwe kama kule kwao?
Labda matawi Dar, Mwanza, Arusha Dodoma iwanufaishe wengi. Kwa sababu wengine kusafiri ni shida kwenda UK, USA au India. Pia tutajifunza kutoka kwao.
Nasikia ata wazee wa Makinikia pia wanautumia.Acha uongo wewe viwanda kibao vinatumia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari
Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
Bibi kagoma kuruhusuLilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.
Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.
Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.
Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
Utasubiri sana.kama ulichagua CCM upate gesi bei nafuu utakaa sana.nenda Mererani kwenye Tznite ukaone watu walivo maskini.wamechakaa.Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.
Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.
Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.
Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
isije kuwa ilikuwa kiki.hahahahaLilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.
Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.
Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.
Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
Bomba limejengwa kwa kuzingatia tutakapofikia kiwango kikubwa cha uzalishaji na sio kiwango cha uzalishaji kilichopo hivi sasa!tulianza uvunaji gesi kabla ya kupanga miundombinu ya matumizi yake. ndiyo maana taarifa zinasema gesi inayotumika ni asilimia 6 tu ya uwezo wa bomba hilo.
Bado MCHAKATO NA UPEMBUZI YANIKIFU unaendelea,we kuwa mvumilivu.Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.