mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,752
- 57,958
Kama gesi ya mtwara haijafika Dar iweje tpdc iwe inailipa pesa halimashauri ya mtwara ? Usijidanganye mzigo ushatua jijiniGesi ya Mtwara haijafika dar wala yale mabomba hayajifika hadi mtwara.. mengine jiongeze
Aliyefia hospitali hiyo ya kibepari alitaka kutibiwa huko au waliompeleka ndio walioamua akatibiwe huko?
Sijui Body check up alikuwa anafanyia wapi wakati huo, ila nawewe bado hujanijibu kuwa alienda kulazwa kule kwa matakwa yake au ya wengine?Kabla ya kupelekwa kulazwa, check up zake zote akiwa Rais na baada ya kung'atuka alikuwa anafanyia Butiama ama Ulaya kwa Mabepari?
Atiiiii?Gesi ya Mtwara haijafika dar wala yale mabomba hayajifika hadi mtwara.. mengine jiongeze
Hata hvyo mkuu vitu vingine haina haja hata kubishana. Kwa akili yako alilazimishwa?Sijui Body check up alikuwa anafanyia wapi wakati huo, ila nawewe bado hujanijibu kuwa alienda kulazwa kule kwa matakwa yake au ya wengine?
Mkuu mimi sijabishana nimehitaji tu kueleweshwa.Hata hvyo mkuu vitu vingine haina haja hata kubishana. Kwa akili yako alilazimishwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari
Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
Sijui Body check up alikuwa anafanyia wapi wakati huo, ila nawewe bado hujanijibu kuwa alienda kulazwa kule kwa matakwa yake au ya wengine?
Kwahiyo walitudanganya kwa kutupa matumaini ambayo hayakufanyiwa tathmini ya kutosha kabla.
labda magufuriDuh, mkuu hauna imani na mwanasiasa yoyote?
out of topic kabisaKabla ya kupelekwa kulazwa, check up zake zote akiwa Rais na baada ya kung'atuka alikuwa anafanyia Butiama ama Ulaya kwa Mabepari?
Haitoki kivipi? watu kama nyie hamtaki kutembea. mtu kama wewe unaishi Masaki umetembea sana umeishia mlima city..Wamakonde walishasema haitoki.
Una uwakika unachokiandika? Mimi Niko Masaki ya mtwara Shangani Karibu na Maisha club. Wewe unatokea chipuputa ,Chikongola au mdenga?Haitoki kivipi? watu kama nyie hamtaki kutembea. mtu kama wewe unaishi Masaki umetembea sana umeishia mlima city..
Mambo ya mtwara utayajulia wapi?
Acha uongo wewe viwanda kibao vinatumiaGesi ya Mtwara haijafika dar wala yale mabomba hayajifika hadi mtwara.. mengine jiongeze