Si Kuna mitambo ya kuzalisha umeme wa gas kinyerezi 1 na 2.Gesi ya Mtwara haijafika dar wala yale mabomba hayajifika hadi mtwara.. mengine jiongeze
Kuna sehemu nimesema mjiongeze... mimi najipenda bado na ndugu na marafiki wanao nitengemeaSi Kuna mitambo ya kuzalisha umeme wa gas kinyerezi 1 na 2.
Kuna sehemu nimesema mjiongeze... mimi najipenda bado na ndugu na marafiki wanao nitengemeaSi Kuna mitambo ya kuzalisha umeme wa gas kinyerezi 1 na 2.
Kuna sehemu nimesema mjiongeze... mimi najipenda bado na ndugu na marafiki wanao nitengemeaSi Kuna mitambo ya kuzalisha umeme wa gas kinyerezi 1 na 2.
Iko Njiani Mkuu,Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.
Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.
Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.
Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
Hapo ndio tujiulize sisi shamba la bibi!!!Mbona Umeme unaozalishwa hautoshelezi kama ilivyosemwa utakua mwingi?
[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari
Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
Aliyefia hospitali hiyo ya kibepari alitaka kutibiwa huko au waliompeleka ndio walioamua akatibiwe huko?1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari
Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
Kwahiyo walitudanganya kwa kutupa matumaini ambayo hayakufanyiwa tathmini ya kutosha kabla.Gesi ipo inatumika kuzalisha umeme tu nao kidogo haina presha ya kujaza bomba inatumika 16% ya bomba zima haiwezi kutumika kwa matumizi mwngine