ok mkuu usijali saivi yameshakuwa yeboyebo na yanaajili kwa procedure za kawaida pia sio lazima kuwa ulisomea hicho unachoomba kwani wao ukiingia unakuwa kama trainee then siku zinavyoenda utamudu kazi, siku moja amua kujitusu utokee physically na cv yako kwenye maofisi yao(masaki). Title ya barua vaccancy(yaani unaapply nafasi iliyowazi) kama umesomea engineering yeyote basi kwa kichwa cha habari hicho unaweza pata nafasi but kama we ni ngwini bac hapo pana kazi mkuu watataka uwe na maexperience ya kutosha.