Gesi inasaidia kurahisisha katika kuokoa muda, mkaa unahitaji maandalizi katika kuuwasha. Sasa time is money mkaa una gharama zaidi ya GasiWakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000
Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?
Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira na
Tumia vitu kwa bajetiWakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000
Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?
Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira na
Haya, nenda huko nje ukatafute makaratasi uwashe jiko la mkaa. Kuwasha mkaa mpaka ukolee sio chini ya dakika kumi. Sisi wa gesi tunabonyeza tu button na tunapikia ndani.Habari wakuu tupeane ufahamu kidogo
Mi jwangu natumia mkaa wa 1500 kwa shughuli zote hapa kupika usiku na mchana, kuchemsha maji, uji wa watoto
Gas ya 57,000 na nauli ya 2000 kuifikisha nyumbani jumla 59 000, hii inachukua wiki 4 kasoro kama siku 3 na wakati huo nikiongezea na mkaa kwenye maharage, kuchemsha maji
Swali ungekuwa wewe kweli hapo kuna haja ya gesi maana mkaa kwa mwezi ni 1500x31= 46500,
59000 vs 46500 different ni 12500 ndo nasave jiko la ges ngoja tu liozee ndani
Hapo kuna nia ya dhati ya kutunza mazingira kweli na waziri wa nishati anaongea simple kati ya mawaziri siwaamini hi january anajifanya kabisa kuwa hajui ges na mkaa bei zake zikoje sokoni
Mi na mfanyajazi naangalia bajeti tu ya bei sii time tenakwa kumanage time chukua gas labda kam wew una matumizi mengi ya gas au unapika maharage kwenye gas ndio maana inaisha haraka?Au muda mwingi unatumia ukiwa home na shughuli zako ni za nyumbani?Nadhani majibu unayo wewe so fanya uamuzi kulingana na matumizi yako
Mi na mfanyajazi naangalia bajeti tu ya bei sii time tena
si kwa sababu una mfanyakaz ndo uamue kutumia mkaa ...maana kuna vitu unatakiwa uvifanye kwa wakati unachelewa kwa sababu ya kutumia mkaa so nakushauri uwe na gas na pia uwe na mkaa maana kuna vitu unatakiwa utumie mkaa kuna vingine unatakiwa utumie gas na sio kwa sababu una mfanyakazi ndo usijali muda Na kama unatumia kwanini usinunue mzigo mkubwa ili kupunguza gharama kubwa ya kununua mkaa kila siku ...just simple calculationMi na mfanyajazi naangalia bajeti tu ya bei sii time tena
Binafsi I'd prefer gesi... Make umetoka zako job unarudi gheto maswala ya kukoleza tena moto kwenye mkaa na ubao wa maana umekukamata au kuna kipolo cha wali uliacha jana night afu kukipasha mpaka ukoleze mkaa ni waste of time mazee...kama unamapishi makubwa mkaa ni nafuu ndio maana unauzwa kila siku mjini. kama msela kama mm gas inakufaa zaidi....
Anachemsha chuma cha puaGas 30kg unatumia siku 3 huu ni uwongo bwana. Labda km unachemsha mawe.
Uko sahihi kuhusu maharage nimefanya sana hii trick, Tena ukiyalaza na maji ya moto kwenye chupa ya chai ndo ukija kuyapika hata hayatachelewa kabisa kuiva..Maharage unabidi kuyaweka Katika chupa ya chai ndo Yana lala umo then Ahsubui yanakuwa yameiva na unaweka Katika Gas hayazidi dk 20 yanakuwa yameiva , Gas usifungulie Hadi mwisho .fungulia kiwango Cha Kati
Fanya hivyo then unipe mrejesho ata mkaa ukibaki unaumwagia maji ili uutumie na Kesho
Hakikisha kwa siku unapika maramoja nunua hotpot kubwa ili ukipika unaweka chakula chako vizuri
Yes Mkuu mtoa Mada anabidi kuishi kwa Akili la sivyo ataendelea kulalamikaUko sahihi kuhusu maharage nimefanya sana hii trick, Tena ukiyalaza na maji ya moto kwenye chupa ya chai ndo ukija kuyapika hata hayatachelewa kabisa kuiva..
Pamoja na kwamba hesabu yako ya gesi ilitakiwa kuwa Tsh. 60,000/=Wakuu mi kwangu mkaa wa 1500 kwa siku ya natosha kupika, kuchemshia maji ya kunywa na mapishi kwa siku nzima halafu ges ambayo huwa natumia hii ya 30kg inamaliza wki 3 na sehemu na inauzwa 58,000, transport 2000 jumla 59,000
Sasa wakuu mkaa 1500x31= 46,500/=TZS vs 59,000 ungekuwa wewe ungenunua gesi kweli?
Swali la pili ni kweli serikali hii ina mkakati madhubuti wa kupambana na mazingira?
Japo ladha itapotea ila inasaidia sana,Uko sahihi kuhusu maharage nimefanya sana hii trick, Tena ukiyalaza na maji ya moto kwenye chupa ya chai ndo ukija kuyapika hata hayatachelewa kabisa kuiva..