Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, "Wananchi asiwatishe Mtu yeyote, mko salama, Serikali na Vyombo vyake itafanya lolote linalowezekana kuhakikisha Watanzania hawabugudhiwi kupata haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa"
"Tunafahamu hao wanaofanya Kampeni za kuvunja taratibu moja kati ya maeneo wanayotumia wanatisha watu hata wale ambao wameamua kuomba nafasi za kugombea, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuzuia kupata haki yake ya Kikatiba"