McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Akizungumza na The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema kwamba taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai Tanzania, Kenya na Uganda haziko tayari kuwa ni propaganda, akisema Tanzania imewekeza dola za Marekani milioni 250 katika ujenzi wa Uwanja wa Arusha na Uwanja wa Dodoma, huku Uwanja wa Arusha ukiwa umefikia zaidi ya asilimia 74 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika Julai.
Ameongeza kuwa uwekezaji wa viwanja hivyo viwili pamoja na viwanja vitatu vya mazoezi utafikia shilingi bilioni 900, ikiwa ni sehemu ya uwekezaji wa jumla wa miundombinu ya AFCON unaokadiriwa kufikia dola milioni 470, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.2, akisisitiza kuwa Tanzania iko tayari kuandaa mashindano hayo.
------------------------------
he Government has allayed concerns among sports stakeholders over Tanzania’s preparedness to host the Africa Cup of Nations finals next year, citing massive financial investment to ensure the timely completion of key stadium projects.
The assurance follows reports circulating on social media claiming that Tanzania, Kenya and Uganda risk losing hosting rights for the Afcon finals due to alleged unpreparedness.
Speaking to The Citizen, Government Chief Spokesperson and Permanent Secretary in the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports, Gerson Msigwa, described the claims as propaganda targeting Tanzania and its co- hosts Kenya and Uganda, all of which he said have made significant progress in preparations.
Msigwa said Tanzania has invested USD 250 million ( more than Sh700 billion), in the construction of the Arusha Stadium, which has reached over 74 percent completion, as well as the Dodoma Stadium. He said the Arusha Stadium is expected to be completed by July and will be ready for test events, while construction of the Dodoma Stadium, which will serve as a backup venue, is ongoing.
According to Msigwa, the total investment in the two stadiums, along with three additional training venues, will reach Sh900 billion.
Source: The Citizen