Gerson Msigwa amekataa uteuzi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara? Bado anafanya majukumu ya Zuhura Yunus na Msemaji wa Serikali

Unapoteuliwa ikaondoka ofisini nakukabidhi kuna vitu vya ofisi na personal vinapaswa kubadilika. Gerson Msigwa ameendelea kufanya kazi ya Zuhura Yunus mitandaoni kisha sasa ameongeza kazi ya katibu mkuu.

Anaweza akadhani mfumo unataka hivyo ila ukweli ni kwamba anaingilia majukumu ya watu. Makatibu wakuu sifa yao kuu nikujitenga na mitandao ya kijamii kwa kuamini wizara zina watu wameajiriwa kuhabarisha.

Mdogo wetu Msigwa anahitaji msaada kidogo...Zakuambiwa changanya na zako. Pls my young brother, nawiwa kukushauri usipost tena issues kwenye akaunti yako iliyosajiliwa as official accounts kwenye sacial media.

Ukitaka kufanya hivyo, usiwe wa kwanza na usiweke maneno yako. Zingatia
hiyo kitu itamsumbua sana. hadi uteuzi yeye bado anang'ang'ania kuutangaza kwenye page zake. na ujue watu wengi sura za kipindi cha jiwe hawazipendi hawapendi kuziona tena, zinakiumbusha machungu na unafiki mwingi.
 
Umeshauri ujinga mtupu. Kuna tatizo gani Msigwa kupost taarifa kutoka serikalini kwenye page yake binafsi? Hiyo sifa ya makatibu wakuu kujitenga na mitandao ipo kwenye sheria gani? Acha wivu wa kishamba.
Hatuishi kwa Sheria tu. Kuna makatazo mengine huyakuti kwenye Sheria. Kuna Sheria, taratibu, miongozo na maadili.

Unaonaje ukikutana na mchungaji au shehe kavaa bukta . Kwani imeandikwa asivae bukta? Hapana!! Ni maadili tu.
 
Unapoteuliwa ikaondoka ofisini nakukabidhi kuna vitu vya ofisi na personal vinapaswa kubadilika. Gerson Msigwa ameendelea kufanya kazi ya Zuhura Yunus mitandaoni kisha sasa ameongeza kazi ya katibu mkuu.

Anaweza akadhani mfumo unataka hivyo ila ukweli ni kwamba anaingilia majukumu ya watu. Makatibu wakuu sifa yao kuu nikujitenga na mitandao ya kijamii kwa kuamini wizara zina watu wameajiriwa kuhabarisha.

Mdogo wetu Msigwa anahitaji msaada kidogo...Zakuambiwa changanya na zako. Pls my young brother, nawiwa kukushauri usipost tena issues kwenye akaunti yako iliyosajiliwa as official accounts kwenye sacial media.

Ukitaka kufanya hivyo, usiwe wa kwanza na usiweke maneno yako. Zingatia
Yule Mporipori bado!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unajidhalilisha! Huki kweli ni kuingilia majukumu yasiyomhusu! Safari ya Rais India inamuhusu nini Msigwa? Wanaopaswa kuripoti hiyo safari ni Zuhura na Matinyi! Asiingilie majukumu ya watu!
Kwani yeye anaripoti au anaposti mitandandaoni?
 
Hatuishi kwa Sheria tu. Kuna makatazo mengine huyakuti kwenye Sheria. Kuna Sheria, taratibu, miongozo na maadili.

Unaonaje ukikutana na mchungaji au shehe kavaa bukta . Kwani imeandikwa asivae bukta? Hapana!! Ni maadili tu.
Sheikh kavaa bukta!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hatuishi kwa Sheria tu. Kuna makatazo mengine huyakuti kwenye Sheria. Kuna Sheria, taratibu, miongozo na maadili.

Unaonaje ukikutana na mchungaji au shehe kavaa bukta . Kwani imeandikwa asivae bukta? Hapana!! Ni maadili tu.
Kwaiyo unahakika makatibu wakuu wamekatazwa? Na je ushawahi kuwa katibu wa wizara yoyote ile?
 
Hatuishi kwa Sheria tu. Kuna makatazo mengine huyakuti kwenye Sheria. Kuna Sheria, taratibu, miongozo na maadili.

Unaonaje ukikutana na mchungaji au shehe kavaa bukta . Kwani imeandikwa asivae bukta? Hapana!! Ni maadili tu.
Acha kunililia mimi. Hamia Kenya
 
Umeshauri ujinga mtupu. Kuna tatizo gani Msigwa kupost taarifa kutoka serikalini kwenye page yake binafsi? Hiyo sifa ya makatibu wakuu kujitenga na mitandao ipo kwenye sheria gani? Acha wivu wa kishamba.
Hebu punguza mihemko ya kipumbavu... Msigwa ni msemaji wa serikali?, Anapata wapi mamlaka ya kuutarifu imma juu ya Mambo ya ikulu akiwa first hand informer?. Acheni kuwa viazi kubisha Mambo ya msingi.... Akae eneo alilopangiwa kwani hamuwezi kuushi bila uchawa?.
 
Ushauri mzuri sana. Msigwa abaki na majukumu yake ya msingi kwenye Wizara ambapo yeye ndiye Mtendaji Mkuu wa Wizara yake.

Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba, atapimwa kwa kile atakachokifanya pale Wizarani na siyo mapambio na mengine ambayo siyo sehemu ya majukumu yake.

Kufanikiwa ama kutofanikiwa kwa Wizara yake ndiyo yatakayomtambulisha yeye na uwezo wake mbele ya jamii ya Watanzania.
 
Umeshauri ujinga mtupu. Kuna tatizo gani Msigwa kupost taarifa kutoka serikalini kwenye page yake binafsi?
hujamuelewa mleta mada. kashauri asiwe wa kwanza kupost, kujifanya wa kwanza kupost habari za serikali ni kiherehere na kuingilia majukumu ya wengine.
 
Umeshauri ujinga mtupu. Kuna tatizo gani Msigwa kupost taarifa kutoka serikalini kwenye page yake binafsi? Hiyo sifa ya makatibu wakuu kujitenga na mitandao ipo kwenye sheria gani? Acha wivu wa kishamba.
Umempa vidonge haswaa
 
Ushauri mzuri sana na Msigwa Gerson auone kwenye jalada! Afanye kazi kwa mipaka/kipande alichopewa. Ajue pia yeye ni miongoni mwa masalia ya mwendazake wanaweza kuwepo wanaoendelea kumlia timing huko sirikalini
 
Back
Top Bottom