Ila ujue kuwa hawa NATO wanafanya daily analysis ya situation; kumbuka pia kuwa jeshi mahiri la SAS liko eneo la tukio toka day oneWazungu watu wa ajabu Sana maneno haya anazungumzia akiwa Berlin wakati mwenzake Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy hajulikani hata analala wapi Ukraine imekuwa magofu.. Kwa Mara ya pili baada ya WW2 wazungu wamekuwa wakimbizi wa kivita mambo ambayo tumezoea kuyaona Africa na Middle East yapo Ulaya Sasa
Huwezi kujua Zelensiky analala wapi sababu wewe haupo Ukraine na pia hata habari hizi unazipata kwa hisani ya USA,ukizimiwa Internent hata JF unayotumia kucomment haitokuwepo .Unawezaje kupingana na walio kuwa involved katika hii vita kwa vitendoWazungu watu wa ajabu Sana maneno haya anazungumzia akiwa Berlin wakati mwenzake Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy hajulikani hata analala wapi Ukraine imekuwa magofu.. Kwa Mara ya pili baada ya WW2 wazungu wamekuwa wakimbizi wa kivita mambo ambayo tumezoea kuyaona Africa na Middle East yapo Ulaya Sasa
Tumia akili vizuri sio kila analosema US au Kiongozi wa ulaya ni sahihi, internet tunalipa wala sio hisaniHuwezi kujua Zelensiky analala wapi sababu wewe haupo Ukraine na pia hata habari hizi unazipata kwa hisani ya USA,ukizimiwa Internent hata JF unayotumia kucomment haitokuwepo .Unawezaje kupingana na walio kuwa involved katika hii vita kwa vitendo
Analysis kila nchi inafanya, ila si kwa propaganda za western countries kama USA na EU.Ila ujue kuwa hawa NATO wanafanya daily analysis ya situation
uko nao hapo newyork mkuu au upo gezaulole umepiga ramli tuIla ujue kuwa hawa NATO wanafanya daily analysis ya situation
Kama watoto wanaimba na kucheza ndani ya viwanja vya Kyiv, na kubembea na kupiga picha kwenye vifaru vya russia vilivyochakaa kwa stinger unafkiri rais wa nchi hiyo atakosa nyumba ya kulala???Wazungu watu wa ajabu Sana maneno haya anazungumzia akiwa Berlin wakati mwenzake Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy hajulikani hata analala wapi Ukraine imekuwa magofu.. Kwa Mara ya pili baada ya WW2 wazungu wamekuwa wakimbizi wa kivita mambo ambayo tumezoea kuyaona Africa na Middle East yapo Ulaya Sasa
Kwa hiyo hujui kusoma na picha pia huoniuko nao hapo newyork mkuu au upo gezaulole umepiga ramli tu
Hio ni kyiv tuKama watoto wanaimba na kucheza ndani ya viwanja vya Kyiv, na kubembea na kupiga picha kwenye vifaru vya russia vilivyochakaa kwa stinger unafkiri rais wa nchi hiyo atakosa nyumba ya kulala???
Mnasahau kwamba si wote wanaisapoti USA wazungu mnaoongelea hata mjerumani ana analyse atafanyaje kuisapoti Ukraine ama hata kutoisapoti marekani. WW2 gave lesson to allies.Huwezi kujua Zelensiky analala wapi sababu wewe haupo Ukraine na pia hata habari hizi unazipata kwa hisani ya USA,ukizimiwa Internent hata JF unayotumia kucomment haitokuwepo .Unawezaje kupingana na walio kuwa involved katika hii vita kwa vitendo
Jamaa anatema nyongo kwa hasira sana maana uchaguzi ujao lazima apigwe chini. Koki imeshafungwa na winter inapiga hodi. Apambane na hali yakeGermany’s Scholz says Russia will not win the war in Ukraine
German Chancellor Olaf Scholz says Putin has failed in all his strategic aims and will not dictate terms of peace.
View attachment 2241960
Russian President Vladimir Putin will not win the war in Ukraine, Germany’s Chancellor Olaf Scholz has said, while stressing that the NATO military alliance will not become an active party to the conflict.
Speaking on Thursday to a global business community attending the World Economic Forum in Davos, Switzerland, the German leader also said that Putin has already failed in all his strategic aims.
The Russian leader “underestimated” the “resolve and strength” of allies in countering his aggression in Ukraine, said Scholz. “Our goal is crystal clear – Putin must not win this war. And I am convinced that he will not win it.”
Russia’s plan to capture all of Ukraine is “further away today than it was at the beginning” of its invasion, as Ukraine continues to put up an impressive defence, he said.
Germany’s Scholz says Russia will not win the war in Ukraine

Mkuu umempiga za chini ya mkanda!Huwezi kujua Zelensiky analala wapi sababu wewe haupo Ukraine na pia hata habari hizi unazipata kwa hisani ya USA,ukizimiwa Internent hata JF unayotumia kucomment haitokuwepo .Unawezaje kupingana na walio kuwa involved katika hii vita kwa vitendo