The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 773
Habari wana JF nimekuwa nikiwaza tangu zamani sana kuhusu mawazo yangu haya mawili na hata kuonana na baadhi ya watu nikawapa wazo langu la kutaka kumiliki gereza binafsi pamoja na kufungua kampuni ya kuwaficha wahalifu wakongwe na hata wasiokuwa wakongwe ila kwa ubora wa kimataifa tena wa kutumia intell...na mbinu ya hali ya juu sana sasa watu wengi wakaniuliza itafanyaje kazi itakuwa na hasara gani na faida gani na hayo ndio maswali niliyoyatalajia kutoka kwenye jamii husika na kuna watu walidiliki hata kunipinga mawazo yangu na wakatukana wengine ila msimamo binafsi ni kitu kizuri sana sijakata tamaa na nina amini itakuwa kweli siku moja kwani naamini itatoa moja ya ajira nyingi sana na kuingiza kodi kubwa sana nchi yangu na mambo mengine mengi hivyo basi nimejaribu kushare na nyie hapa wana JF Nipate na nyie mawazo yenu
BRAVO...
BRAVO...