Anakemea mgomo,???hata yeye anafanya kazi kwenye mazingira magumu,anahofia kugoma maana hajiamini,,,,,mwenzie masoud Kipanya na Phina hawakuridhika wakagoma,,,,,kwanza wamekufa na njaa????kama wewe una taaluma na vitendea kazi vya taaluma hupati ufanisi wa kazi utatokea wapi????
Labda huyo Mr PB aseme hapa kwanini walitaka kugoma baada ya kupata shida ya kumhoji baloz wa US???KWANINI WALIAZIMIA KUGOMA????
punguwani wewe
Hizi akili za kuunganishaunganisha taabu kweli. Hivi hata madaktari waki vunja mgomo wao na kurudi kazini hatafu hakuna dawa, vifaa vya kutibia hakuna,wagonjwa wanalala mzungu wa nne na kuambukizana magonjwa ina faida gani?
Punguwani ni wewe mmojawapo usiejuwa kuwa mgonjwa hana hatia na hana uwezo wa kujisemea anapokuwa kitandani na hao wanaowachochea madaktari kugoma wana agenda zao za siri na hawajali kama kuna mtu atakufa au atateseka mradi yao yatimie. Tutawajua tu.
Hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.
[/COLOR]
ina maana na viongozi mafisadi wa Serikali hii wapewe kichapo??? Ili tuwakomeshe kuiba jasho letu - na wakipona tuone kama wataendelea kuiba???? OUR SOCIETY IS ROTTEN - AM SORRY TO SAY THIS ............ila ndivyo ilivyo.... Watanzania wangapi wanakula mlo mmoja??? Hi si kuwauwa taratibu????? MADAKTARI WANA HAKI YA KUGOMA ..... NA ATHARI ZA VIFO WAGONJWA WANAOKUFA INATOKANA NA SERIKALI MBOVU ..........SIO MADKTARI TU .......... :sad::sad::sad:
Watu wachache sana wataona uzito wa hili bandiko lako trust me..Hando alimchamba mwakyembe sakata la Paul Chizi bila kujua anadeal na mtu wa caliber gani kilichofuata anakijua leo hii anarudia yaleyale mwachie hii homework kama ni mwanafunzi mzuri ataifanya kwa ufasahahamna shaka kwa namna moja au nyingine kupigwa na kutekwa kwa dokta ulimboka kunatokana maneno ya kuhamsha na kuchochea hasira kwa dkt ulimboka yaliyofanywa na kituo cha radio cha clouds fm ktk kipindi cha power breakfast,segment ya jicho la ngombe majuzi,bwana gerald hando kwa makusudi au kwa kutokujua impact ya radio kwenye kurusha maneno ya chuki na kumkosoa mtu tena kwa kumuita jina lake moja kwa moja bila kufikiria reactions na response za watu kwa mtu husika. bwana hando alimsema sana bwana dkt ulimboka kwamba anapenda sifa, umaarufu,anatakuwa shujua ili sanamu lake liwekwe muhimbili..na maneno mengi ya ajabu ajabu, ambayo mtu yeyote ambaye ameguswa na mgomo wa madaktari angeweza fanya kitu chochote kumdhuru dkt ulimboka. Gerald hando na watangazaji wa radio clouds fm kuweni makini na lugha zenu, acheni unafiki, kumbukeni hata kama mnadhani hakuna watu wanaoweza kuwachukulieni hatua , hasira za watu na malalamiko yao kwenu personaly si jambo jema, wote tunajua mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, na hata serikali kama inashindwa tatua maombi ya madaktari kwa wakati mmoja. waonyeshe tu commitment ya dhati ya kutatua kero za madaktari tusingekuwa na migomo hii, plz gerald hando , angalia maneno yako brother , radio ni very powerful too , inaweza kuwa very destructive isipotumiwa kwa weredi
Unajua kwenye jukwaa kuna thread nyingi tu hebu jaribu kuchagua unayoona inaendana na uwezo wako kichwani hizi zingine waache wenye nondo zao waendelee..la sivyo kakojoe ulalemadaktari niwabinafsi nawala hawatetei maslahi ya watz bali yakwao,and it shows that the devil himself ndio anawatumia,serikali hiyo ndio iliwasomesha in the first place inabidi wananchi ss waamke na we rebuke these so called drz wenyewe ni nani wawe wakidemand million za pesa wapewe bana kila mtu ana umuhimu wake kwenye society yy yakimkuta huko atahitaji lawyer wakumtetea or aende magereza,so msijione nyie nibora kila mtu amesoma na anaumuhimu wake,watu wazima na degree zenu which u toiled to get them mnaimba nyimbo za watoto ,,,,,mbona hatukuandamana mlipo mpasua mtu mguu badala ya kichwa,,,,,
hando alisema ''this is personal btn u n me ulimbokal'
Hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.
hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.
Hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.