Hapo utakuwa umelala naye pembeni?😁Mzee mbowe kashapumzikaa yy ,sema tu n vilee wanamletea shobo na yy ataki shobo ndio maana katulia zake yupo ofcn kwake anaendelezea biashara zakeee Tena Kwa utulivuuu...c mlionaa anafaidi hyo nafac ?? Ss kawapisha kwann Tena mnamwandamaa??
😄😄😄😄😄 Achaa ufalaaa ,n vile tu naona Mzee wa watu kakitulizaa alafu Bado mnamwandama mkuu😄😄😄Hapo utakuwa umelala naye pembeni?😁
Huyo chawa na mlevi mbwa hiyo ni tafsiri yake lakini Lissu hakumlenga Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha movements kisha watu wa mamlaka wanamuita kufanya bargaining.
Binafsi najiuliza, Kama Lissu anaendelea kumtukana Mbowe ni lini atamuacha huyu mzee wa watu apumzike.
Huyo Hando Shoga baridi akilewa wenzake wanamgeuza,sijui huu uhaba wa ARV maana ameanza kupaukaWatu kama hando ni wa kupuuzwa
Apumzike kwani amestaafu siasa?
View: https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha movements kisha watu wa mamlaka wanamuita kufanya bargaining.
Binafsi najiuliza, Kama Lissu anaendelea kumtukana Mbowe ni lini atamuacha huyu mzee wa watu apumzike.
Wacha weeeeeh. When a woman loves.😄😄😄😄😄 Achaa ufalaaa ,n vile tu naona Mzee wa watu kakitulizaa alafu Bado mnamwandama mkuu😄😄😄
Mwambieni akasome waraka wa "Waheshimiwa 55" atapata jibu
View: https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha movements kisha watu wa mamlaka wanamuita kufanya bargaining.
Binafsi najiuliza, Kama Lissu anaendelea kumtukana Mbowe ni lini atamuacha huyu mzee wa watu apumzike.
Ni wa kupuuzwa tu huyoHuyo Hando Shoga baridi akilewa wenzake wanamgeuza,sijui huu uhaba wa ARV maana ameanza kupauka
Hawa jamaa ,wakiongozwa na Kitenge ,kipindi chao kina umbea sana, hawa ukijichanganya wanaweza kukusuta kwa vidole kabisa ,kitu ambacho sio sawa kufanywa na mwanaumeAcheni propaganda za kijinga hizi.Hando ni kada wa ccm ,anafanya kazi kwa maslahi ya ccm.Kati ya mambo yote mazuri aliyoeleza Lissu ,Hando hakuyasikia.Masikio yalikuwa yanasikiliza sauti za kutoka kichwani mwake kuwa kuna ugomvi kati ya Mbowe na Lissu.Hakuna mahali Lissu amemtukana.
Cha ajabu wala rushwa bado anao ame wakumbatia
View: https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha movements kisha watu wa mamlaka wanamuita kufanya bargaining.
Binafsi najiuliza, Kama Lissu anaendelea kumtukana Mbowe ni lini atamuacha huyu mzee wa watu apumzike.
Geraldine yule shoga mkatikia wanaume wenzie au yupi?