Geoscience field

bakundande jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
507
Reaction score
674
Habari za mda Tena wanajukwaa,

Kama ilivyoada naomba kupata ufaham juu uwepo wa fursa katika tasnia ya geoscience hususani fani ya geophysics hapa nchini kwetu na maslahi yake kwa ujumla.

Mawazo yenu ni muhimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Maslahi yake yakoje mkuu


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inategemea na kamba yako mkuu


Na Kama NI serikali Basi je uko kitengo gn Kama NI underground water Basi uwe Bonde ambalo maji mengi ya chini ya ardhi.kwenye madini sijui ila ninafanya kazi kwenye maji sana.survey Kama kawaida ya serikali per diem 80000 kwa siku.ma deal ya ruwasa unaweza kupewa day tano kwa kila Kijiji japo kazi ukaifanya siku moja wao ukawapa siku mbili we ukala siku tatu(SIRI)....NI hayo tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Kuna maisha [emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Kwa Tz uzoefu unaonesha hizi kozi mpya mpya kuanzia petrolium mpaka gesi huwa zina changamoto katika swala la ajira!

Kuliko usome hizi kozi mpya ambazo hata wewe mwenyewe hujui future yake ni bora usome kozi ambazo kwa Tz zina soko...

1. Kama umesoma science na kama baba ako sio kigogo ndan ya serikali yaani huna connection basi kasome civil, mechanical, electrical au architecture!

2. Kuna msemo unasema kila mtoto huzaliwa na bahati yake (maana ya kwamba huwezi jua kesho ya mtu) kwa kuzingatia huu msemo basi kasome hiyo kozi ila jiandae kisaikolojia kwa lolote ukisha maliza!
 

Naona ume simplify kweli kweli!

Too good to be true.
 
Sema ndio nshayavulia nguo acha niyaoge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama unapewa loan mia kasome. Ila kama unaongeza ada mwenyewe jaribu kuwa optimistic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…