Kweli, unajua mimi nimemsoma huyu jamaa nikiwa la pili wakat huo akigombea ugavana Florida naona sikushika jina lake la kati (Ellis) vizuri. Thanks for correction.
Kweli, unajua mimi nimemsoma huyu jamaa nikiwa la pili wakat huo akigombea ugavana Florida naona sikushika jina lake la kati (Ellis) vizuri. Thanks for correction.
Ok poa,wenzetu Wazungu wanaanda watoto wao kuwa viongozi angali wadogo. Katika familia hii ya George H.W Bush huyu Jeb Bush ndio alionekana na kuandaliwa kuwa kiongozi wa baadae wa Marekani tangu akiwa mdogo,kaka yake George W Bush hakuwa anahesabika kama atakuja kuwa Rais but from no where akaja kuwa Rais na hii ni kutokana na jitihada zake binafsi na baadae familia ikampa support ya kutosha.
Umejuaje???,acha kutoa hukumu,kumbuka wewe ni mwanadamu na utabaki hivyo,kwa hiyo jihadhari sana na Hukumu unazompa mwenzio,Mwachie Mungu aliye Mtakatifu sana amuhukumu kwa kadiri anavyojua yeye mwenyewe.