enzi za uhaiwake kwanini hukuyaandika haya?ulikuwa huyaoni?Kwanini Jiwe alikuwa Katili kuliko hata Shetani ?
enzi za uhaiwake kwanini hukuyaandika haya?ulikuwa huyaoni?Kwanini Jiwe alikuwa Katili kuliko hata Shetani ?
Nmeelewa, usiwe unaleta habari za kishabiki hapa!Soma uzi uelewe
wee ulijiunga mwaka gani?Joined 2023
Umeishiwa hoja , kapuku we !!Nmeelewa, usiwe unaleta habari za kishabiki hapa!
.Kama kasingiziwa tuambie ukweli nani akiyemuua yule mtu ili huyu atoke
Polisi ikiacha kutumika na kuamua kufanya kazi itajulikana wauaji ni akina naniWalio uawa wanatetewa na nani?
Je, kuna mtu yeyote mnamshitukia.
Tunazungumza na kutaja sana , Mkutano wa hadhara wa Njombe tulifumua mambo yoteHuyu dogo kwann hua hammtaji majukwani shida ikowapi