Waungwana nisaidieni ndugu yenu kwa ushauri.
Nmekuwa na interest sana na kusoma GIS and REMOTE SENSING ila kama kuna GIS pekee itanifaa sana pia.ngazi ya masters
Ila hofu yangu ni vigezo,nataka kusoma level ya masters je ntakua na vigezo stahiki na je ni vyuo gani vinatoa hiyo course.
Mimi nmesoma BAED
na GEOGRAPHY ni mojawapo ya somo nilililosoma,ndani yake tulisoma
-spartial organisation
-surveying and mapping science
-remote sensing
Je hivi vitaweza kunibeba