Ahsante mkuu nimekuelewaAutocad itakupunguzia kama hizo point utaziingiza manual lakin kwa arc gis huez ingza manual lazma utainput kwa format ya csv toka kwenye excell na hiyo ndiyo mara nying itakupa shida kama kulikua na points ambazo zilikosewa au kuwa kama outlier zinaanguka mbali so huez kuziona ...bt kwa autocad manual input itakufanya uone kila point inavoingia na inapoenda kutua so ni rahisi kuitambua ile iliyokosewa ...kwa uzoefu wangu
Unafaa kuwa mwalimu. Nimekuelewa vizuri nashukuru sana!Ni mfumo wa komputa ambao unatumika kukusanya taarifa kutoka kwenye uso wa dunia,kutengeneza taarifa husika,kuzihifadhi kwaajili ya matumizi mbali mbali..ikiwemo kutengeneza raman...kulocate au kutoa location ya kitu mahali kilipo..iwe eneo..ziwa ..mji..nakadhalika mfano mzuri wanaotumia gps hata za simu..google map..wote wanautilize mfumo huo wa gis ..kifupi ni mfumo mpna sana
Taarifa zote au data zinachukuliwa kwa mfumo wa coordinates points ambazo zinakua ni eastings na northings plus lazima hiyo point iliyochukuliwa itapewa description yake ambayo itakua inaelezea hyo point ni nini
Sawa mkuuAhsante mkuu nimekuelewa
Nashukuru kama umepata kitu mkuuUnafaa kuwa mwalimu. Nimekuelewa vizuri nashukuru sana!
Ahsante kwa kunijuza mkuuKifupi kabisa ni system inayotumika kukukusanya,kutunza ,ku analyse na data mbalimbali. Data hizo lazima ziwe na spatial information, in form of X,Y Z.
X Longitude
Y Latitude
Z information ya eneo hilo..kama vile kisima, kanisa etc.
Nimejitahidi kujibu kiswahili ingawa sio very accurate definition.
Jaribu kuchecki hapa
Geographic information system - Wikipedia
Mnadeal na mambo yapi? Hii kitu ndo mara yangu ya kwanza kuisikia.
Kama ni rahisi zaidi kutokana na uzoefu wa sofware, mimi natumia Arcgis na QGIS. Nitakwambia hizo ni rahis kwa sababu nimezoea tayri. Kama umewahi kutumia Autocad before itakuwa rahisi zaidi pia kutumia. Urahis unategemea na experience na software. Mwisho wa siku unaweza kupata same product kwa kutumia software tofauti tofauti.Fafanua kidogo mkuu kwa nin autocad na si gis software???
Karibu sana. I hope we can learn alot kupitia uzi huuAhsante kwa kunijuza mk`
ArcGIS (ArcMap) au ERDAS IMAGINE Softwares. Ila ni vizuri ungeelezea umezipataje hizo coordinates i.e umetumia receiver ipi?Mkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
ShukuraniHere is a dedicated forum for GIS technologists: GIS Technologies
Ni gis hiyo hiyo lakini nadhani watakuwa wanaitumia kwenye tasinia tofauti sababu gis ni pana mno ..watu wa mazingira wanaiitumia..surveyors wanaitumia..watu wa misitu wanaitumia..watu wa maji wanaitumia..geologist...planners...ni pana sana mkuuWakuu,kwenye kozi ya "Bachelor of Science in Beekeeping Technology" pale UDSM ina kitu kinaitwa "Remote Sensing and GIS",Je hii ina uhusiano na GIS tunayoizungumzia hapa?
tumia autocad
Mkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
Yes, GIS ni computer system (hardware, software, data, people, methods). Remote sensing ni data acquisition method na data zinazopatikana huwa ni component ya GIS( au at least huwa intergrated into GIS). Pia kuna GPS (survey) ambayo ni network of orbiting satelites in space zinazotumiwa coordinates za position on earth.Wakuu,kwenye kozi ya "Bachelor of Science in Beekeeping Technology" pale UDSM ina kitu kinaitwa "Remote Sensing and GIS",Je hii ina uhusiano na GIS tunayoizungumzia hapa?
Kweli kabisa kama unajua kitu weka hadharani unaweza kupata msaada au kusaidia wengine,Mambo haya yawekwe hadharan na si inbox, huenda case yako ikavutia wengine lakin itapanua wigo wa kujadili.N mapendekezo tu wakuu
Mtoa mada kaleta uzi tuweze kujadiliana nakupeana uzoefu kuhusu tasinia nzima ya gis.. yaaan kifupi uzi utakao husisha watu kama ww ili tubadilishane uzoefu na tuendelee kujifunzaKweli kabisa kama unajua kitu weka hadharani unaweza kupata msaada au kusaidia wengine,
Mimi hii course nimeisoma pale chuo cha Ardhi nikasoma
-GIS mapping
-GIS database
-Enter data into GIS
- manipulate and analyse data
- Visualize and product output
-Georeference & Digitization.
Sasa mtoa mada alihitaji msaada gani
Ikoje hiyo mkuumimi nina uzoefu katika electrical gis