MsukumaBlack
Member
- Dec 20, 2016
- 31
- 15
Karibu mkuu ww pia ni gis expert?Habari wakuu, Natumaini Tanzania tuna watalaam wengi sana wa GIS. Tukutane kwenye Uzi huu Kuulizana pamoja na kubadilishana uzoefu katika field hii ya GIS. Uzoefu wa software mbalimbali pamoja na jinsi ya kufany project mbali mbali kwa kutumia science hii ya GIS.
Hebu njoo inbox MkuuHabari wakuu, Natumaini Tanzania tuna watalaam wengi sana wa GIS. Tukutane kwenye Uzi huu Kuulizana pamoja na kubadilishana uzoefu katika field hii ya GIS. Uzoefu wa software mbalimbali pamoja na jinsi ya kufany project mbali mbali kwa kutumia science hii ya GIS.
Yes, nina uzoefu kidogo katika field hiiKaribu mkuu ww pia ni gis expert?
Sure, uzi ukiwa wazi wengi watajifunzaMambo haya yawekwe hadharan na si inbox, huenda case yako ikavutia wengine lakin itapanua wigo wa kujadili.N mapendekezo tu wakuu
Uko pande zipi za Tz?
Ok mm pia ni expert niko dodomaYes, nina uzoefu kidogo katika field hii
Mkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???Yes, nina uzoefu kidogo katika field hii
Kifupi kabisa ni system inayotumika kukukusanya,kutunza ,ku analyse na data mbalimbali. Data hizo lazima ziwe na spatial information, in form of X,Y Z.Mnadeal na mambo yapi? Hii kitu ndo mara yangu ya kwanza kuisikia.
Tumia either QGIS au Arcgis ni rahisi kati ya hizo mbili.Mkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
Sijawahi kuttumia AutocadMkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
tumia autocadMkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
Ni mfumo wa komputa ambao unatumika kukusanya taarifa kutoka kwenye uso wa dunia,kutengeneza taarifa husika,kuzihifadhi kwaajili ya matumizi mbali mbali..ikiwemo kutengeneza raman...kulocate au kutoa location ya kitu mahali kilipo..iwe eneo..ziwa ..mji..nakadhalika mfano mzuri wanaotumia gps hata za simu..google map..wote wanautilize mfumo huo wa gis ..kifupi ni mfumo mpna sanaMnadeal na mambo yapi? Hii kitu ndo mara yangu ya kwanza kuisikia.
Fafanua kidogo mkuu kwa nin autocad na si gis software???tumia autocad
Autocad itakupunguzia kama hizo point utaziingiza manual lakin kwa arc gis huez ingza manual lazma utainput kwa format ya csv toka kwenye excell na hiyo ndiyo mara nying itakupa shida kama kulikua na points ambazo zilikosewa au kuwa kama outlier zinaanguka mbali so huez kuziona ...bt kwa autocad manual input itakufanya uone kila point inavoingia na inapoenda kutua so ni rahisi kuitambua ile iliyokosewa ...kwa uzoefu wanguFafanua kidogo mkuu kwa nin autocad na si gis software???
Itakupunguzia error sory nilikosea hapo juu..makosa ya kuandikaAutocad itakupunguzia kama hizo point utaziingiza manual lakin kwa arc gis huez ingza manual lazma utainput kwa format ya csv toka kwenye excell na hiyo ndiyo mara nying itakupa shida kama kulikua na points ambazo zilikosewa au kuwa kama outlier zinaanguka mbali so huez kuziona ...bt kwa autocad manual input itakufanya uone kila point inavoingia na inapoenda kutua so ni rahisi kuitambua ile iliyokosewa ...kwa uzoefu wangu