Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
- Thread starter
-
- #21
android ambayo ipo kwenye virtual box, emulator au android x86, whatsapp zake ni standalone hazihitaji uwe na acount kwenye simu.Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.
Haaaa sasa pamoja na kuja windows 10 bado swala la what's app halipo
kama unaanza upya iflash na nokia suite au kwa fundiSamahani chief bado na kusumbua hivi nna nokia model ni 311 nimesahau number ya siri je nataka nifute vitu vyangu vyote nianze upya naomba msaada
kama imei si sahihi itafungiwa ndio hata kama ni simu originalPowa kaka je swala la simu hujanipatia jibu kaka
Whatsapp yoyote ya kwenye computer au inayoRun kwenye hizo virtual environment haziwezi kufanya kazi kama huna account kwenye simu yako. Ni lazima kwanza simu iwe online whatsapp then ndio ya kwenye computer ifunguke.
Mimi natumia laptop na ina window10 hivi siwezi ku download what's app nikatumia pekee bila kuwa na account ya simu
Chief emulator ipi naweza kuitumia kwa whatsapp hasahasa bila shida kwenye dell latitude d531?zipo nyingi sana unaweza kuinstall kama os uka dual boot zipo
-android x86
-phoenix os
-remix os
ila hapo narecomend phoenix sababu ni nyepesi zaidi, app zake zina windows na ui ni kama os nyengine za computer
pia zipo emulator kama bluestack, hii genymotion, andy, youwave, windroy(windroid) etc hizi unaweka kwenye windows na nyingi zinatumia virtual box.
ila kwanini ueke emulator sababu ya mobdro tu? zipo njia nyingi sana za kuangalia mpira kwa pc
specs zake ni zipi?Chief emulator ipi naweza kuitumia kwa whatsapp hasahasa bila shida kwenye dell latitude d531?
unamaanisha application za simu na kwamba kwenye computer hadi utumie browser? browser za pc zina nguvu sana na siku zote website zinakuwa na nguvu kuliko application za simu cha muhimu tu kuwa na adblocker ili uwe na experience nzuriBado natamani kujua mengi kuhusu wewe chief naona kwenye simu zipo blog kama Millard ayo jamii foram na nyingine nyingi mbona kwenye computer mpaka utumie us browse
Ram 1GB, 798MHz na 32-bit OSspecs zake ni zipi?
kama ni whatsapp tu unaweza kuidownload kwenye website yao. kama unataka playstore angalia thread hapo juu kuna link ya kuidownload. hio note 2 yako inarun android ipi?Ona nilipo mkuu lakini mambo bado magumu
mkuu hio processor ni balaa, sidhani kama utapata emulator inayokubali pc ya aina hio. labda ujaribu ku dual boot phoenix osRam 1GB, 798MHz na 32-bit OS