Asante kwa TaarifaView attachment 3353727Habari za muda huu, kwa jina huu ugonjwa unaitwa Genital herpes upo wa aina 2. Hsv-2 utokea sehemu za siri na HSV-1 kwa njia ya mdomo, ngozi n.k
Mwaka 2023 nilokutana na mwanamke ambae alikuwa nao bila kufahamu nikakutana nae ki mwili na baada ya wiki kadhaa nilianza kuona vipele pembeni ya uume, kwakweli niliteseka sana maana kila nikienda hosptal tofauti tofauti wana nambia auna tiba kwahiyo nilikuwa ni mtu wa kumeza dawa mara kwa mara. Nilijaribu kumeza Dawa miezi 6 kwa maelezo ya dokta lakini unakuta hata miezi 6 aijafika vinakitokeza gafla so nia ya kuandika jambo ili kwa ujumla ni kuwasihi ndugu zangu magonjwa yapo mengi sana mimi huu ugonjwa niliupata mwezi wa 4/2023 nimekuja kupona mwezi wa 2/2025 mpaka sasa sielewi ni nini kilichoniponesha maana nakumbuka mara ya mwisho nilisusa kunywa dawa kwasababu hivyo vipele vya maji nisipo meza tu ndani ya siku 4 vinatokeza ila nikahamua kuviacha vitoke ila kila vikitokea nilikuwa navitumbua na futa na maji moto napaka mafuta ya mng’aa haya ya kienyeji ubaya zaidi nikifanya hivyo vikirudi tena vinakuja kwa wingi sana lakini sikukata tamaa nilijutahidi kutumia hiyo mbinu na sikuwa kuviona mpaka sasa
Una vyuzi ndefundefu sana..!!!View attachment 3353727Habari za muda huu, kwa jina huu ugonjwa unaitwa Genital herpes upo wa aina 2. Hsv-2 utokea sehemu za siri na HSV-1 kwa njia ya mdomo, ngozi n.k
Mwaka 2023 nilokutana na mwanamke ambae alikuwa nao bila kufahamu nikakutana nae ki mwili na baada ya wiki kadhaa nilianza kuona vipele pembeni ya uume, kwakweli niliteseka sana maana kila nikienda hosptal tofauti tofauti wana nambia auna tiba kwahiyo nilikuwa ni mtu wa kumeza dawa mara kwa mara. Nilijaribu kumeza Dawa miezi 6 kwa maelezo ya dokta lakini unakuta hata miezi 6 aijafika vinakitokeza gafla so nia ya kuandika jambo ili kwa ujumla ni kuwasihi ndugu zangu magonjwa yapo mengi sana mimi huu ugonjwa niliupata mwezi wa 4/2023 nimekuja kupona mwezi wa 2/2025 mpaka sasa sielewi ni nini kilichoniponesha maana nakumbuka mara ya mwisho nilisusa kunywa dawa kwasababu hivyo vipele vya maji nisipo meza tu ndani ya siku 4 vinatokeza ila nikahamua kuviacha vitoke ila kila vikitokea nilikuwa navitumbua na futa na maji moto napaka mafuta ya mng’aa haya ya kienyeji ubaya zaidi nikifanya hivyo vikirudi tena vinakuja kwa wingi sana lakini sikukata tamaa nilijutahidi kutumia hiyo mbinu na sikuwa kuviona mpaka sasa
Kuna mwamba alileta hapa jukwaani jinsi alivyo angaika nao hadi kupona 👇👇👇View attachment 3353727Habari za muda huu, kwa jina huu ugonjwa unaitwa Genital herpes upo wa aina 2. Hsv-2 utokea sehemu za siri na HSV-1 kwa njia ya mdomo, ngozi n.k
Mwaka 2023 nilokutana na mwanamke ambae alikuwa nao bila kufahamu nikakutana nae ki mwili na baada ya wiki kadhaa nilianza kuona vipele pembeni ya uume, kwakweli niliteseka sana maana kila nikienda hosptal tofauti tofauti wana nambia auna tiba kwahiyo nilikuwa ni mtu wa kumeza dawa mara kwa mara. Nilijaribu kumeza Dawa miezi 6 kwa maelezo ya dokta lakini unakuta hata miezi 6 aijafika vinakitokeza gafla so nia ya kuandika jambo ili kwa ujumla ni kuwasihi ndugu zangu magonjwa yapo mengi sana mimi huu ugonjwa niliupata mwezi wa 4/2023 nimekuja kupona mwezi wa 2/2025 mpaka sasa sielewi ni nini kilichoniponesha maana nakumbuka mara ya mwisho nilisusa kunywa dawa kwasababu hivyo vipele vya maji nisipo meza tu ndani ya siku 4 vinatokeza ila nikahamua kuviacha vitoke ila kila vikitokea nilikuwa navitumbua na futa na maji moto napaka mafuta ya ndemwai haya ya kienyeji ubaya zaidi nikifanya hivyo vikirudi tena vinakuja kwa wingi sana lakini sikukata tamaa nilijutahidi kutumia hiyo mbinu na sikuwa kuviona mpaka sasa
Kumbe zipo tofauti?Hii ilikuwa genital herpes. Sio warts
View attachment 3353727Habari za muda huu, kwa jina huu ugonjwa unaitwa Genital herpes upo wa aina 2. Hsv-2 utokea sehemu za siri na HSV-1 kwa njia ya mdomo, ngozi n.k
Mwaka 2023 nilokutana na mwanamke ambae alikuwa nao bila kufahamu nikakutana nae ki mwili na baada ya wiki kadhaa nilianza kuona vipele pembeni ya uume, kwakweli niliteseka sana maana kila nikienda hosptal tofauti tofauti wana nambia auna tiba kwahiyo nilikuwa ni mtu wa kumeza dawa mara kwa mara. Nilijaribu kumeza Dawa miezi 6 kwa maelezo ya dokta lakini unakuta hata miezi 6 aijafika vinakitokeza gafla so nia ya kuandika jambo ili kwa ujumla ni kuwasihi ndugu zangu magonjwa yapo mengi sana mimi huu ugonjwa niliupata mwezi wa 4/2023 nimekuja kupona mwezi wa 2/2025 mpaka sasa sielewi ni nini kilichoniponesha maana nakumbuka mara ya mwisho nilisusa kunywa dawa kwasababu hivyo vipele vya maji nisipo meza tu ndani ya siku 4 vinatokeza ila nikahamua kuviacha vitoke ila kila vikitokea nilikuwa navitumbua na futa na maji moto napaka mafuta ya ndemwai haya ya kienyeji ubaya zaidi nikifanya hivyo vikirudi tena vinakuja kwa wingi sana lakini sikukata tamaa nilijutahidi kutumia hiyo mbinu na sikuwa kuviona mpaka sasa
Yalikugusa maji maji ya uke wake ndiyo maana ukaambukizwa.Ubaya ni kwamba nilitumia kinga, shida ilikuja kutokea pembeni ya uume kwenye nncha
Dawa zipo na zinaponyeshaHivi vipele nina uzoefu navyo kwa miaka2. Sijawai kukaa hata wiki moja bila kuota endapo nisipo tumia dawa, navyojua mfano vimeota then vikapotea kwa kile kipindi umekaa bila vyenyewe kutokea let say wiki 1 au 2 which means immune yako iko juu ila ndani ya wiki 1 vinatokea hapo kumaanisha immune yako iko down, na sijawakukaa zaidi ya mwezi mmoja bila kutumia dawa na visitokee na hiyo record ndo nimeivunja kipindi iki kwa kukaa bila kunywa dawa kwa miezi 4, toka mwaka 2023
Hivi vipele nina uzoefu navyo kwa miaka2. Sijawai kukaa hata wiki moja bila kuota endapo nisipo tumia dawa, navyojua mfano vimeota then vikapotea kwa kile kipindi umekaa bila vyenyewe kutokea let say wiki 1 au 2 which means immune yako iko juu ila ndani ya wiki 1 vinatokea hapo kumaanisha immune yako iko down, na sijawakukaa zaidi ya mwezi mmoja bila kutumia dawa na visitokee na hiyo record ndo nimeivunja kipindi iki kwa kukaa bila kunywa dawa kwa miezi 4, toka mwaka 2023