Watanzania wengi wanaumwa huu ugonjwa ila hawajijui,alafu vinaweza kutokea mdomoni au sehem z siri,za mdomoni wengi husema ni homa kumbe sio ,alafu mbaya mtu akiwa nazo mdomoni anaweza kukuambukiza kwenye sehem za siri endapo atakunyonya ,wengi wana genital herpes ila wanahisi ni vipele vya kunyoa kumbe sio.mbaya zaidi ni ngumu kujua kama mtu anayo au hana kwani sio muda wote huonyesha dalili,na pia unaweza kuwa navyo na visionyeshe dalili yeyote vikakaa dormant mwilini.
mtoa mada tafuta dawa za kuongeza kinga ya mwili utumie kila siku havitakushambulia tena.