Genge la Wanafiki wa CHADEMA

Genge la Wanafiki wa CHADEMA

karama kaila

Senior Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
122
Reaction score
60
GENGE LA WANAFIKI WA CHADEMA NA WAFUASI WAO WAKAPIMWE AKILI?.
-------------------------------------------------
Tangu asubuhi Leo vijana wa CHADEMA wametokwa na mishipa ya shingo Kumshambulia Zitto eti ni Mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi Ya kamishina mstaafu wa TRA Kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya EGM inayohusishwa na Utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie CHADEMA mlifikiri Zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa Kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa Kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni Kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha Zitto aendelee na majukumu yake..

Eti Zitto Mnafiki.

Hivi unaweza Kumlinganisha Zitto Na Mbowe kwa unafiki?...Mbowe aliyesimama kidete Kumtukana LOWASSA na baadae kumsafisha?.

Mmesahau Mbowe alivyorudisha gari la BUNGE (KUB) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na Lissu wa CHADEMA kwa unafiki?...Lissu aliyeshirikiana na Slaa kusoma Orodha ya Mafisadi na Kumtukana Lowassa mpaka matusi ya Nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto Na Mnyika wa CHADEMA kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na Ushahidi wa UFISADI wa Lowassa na kuishia kumnadi kama Rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na MSIGWA wa CHADEMA kwa Unafiki?..Msigwa aliyetaka wanaomuunga Mkono Lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha Zitto na Lema wa CHADEMA kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa kwa maana ni FISADI na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na FISADI namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha Zitto na CHADEMA kwa unafiki, CHADEMA walioweka orodha ya MAFISADI katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na Fisadi namba 9?...

CHADEMA waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

CHADEMA kwa sasa ndio kisima cha Wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na Zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa CCM.

Habibu Mchange
0762178678
Dar es salaam.
 
Hiyo number sasa ya nn watu kwa siasa bana tushachoka na huo usenge...rema wenu kula wanakula wengine sisi tunaungua jua pumbavuu
 
Chadema ndo wanafk wakubwa chadema ni hatari zaidi kuliko ccm...chadema ni mafia gang.
 
Mchange kaongea ukweli kabisaaa, Ukweli Kitilya kafanya makubwa sana pale TRA na yanaonekana, suala la ufisadi moyo kiza kinene.Bila habari hizi kuibuliwa nadhani hakuna ambaye angejua kuwa jamaa alihusika na ufisadi.

Tumuache Zitto afanye kazi yake, awatumikie watanzania tunaomhutaji.

Zitto ni jembe huwezi kulinganisha na chadema yeyote. Period.
 
You're defending the wrong guy man,either knowingly or unknowingly. Zitto aliongoza kampeni ya kumchafua professor Muhongo kupitia ripoti yake ya kupika wakato huo huo akiwaacha watuhumiwa wa kweli wa ESCROW waliochota mabilioni kupitia benki ya Stanbank.Yeye na Mbowe wote wawili ni wanafiki na wajasiria mali wa kisiasa.
 
Naona mchange amekurupuka tu hivi ubunge alipata ooooohh unaishia kulamba miguu ya kabwela ngoja nikafanye kazi tu
 
GENGE LA WANAFIKI WA CHADEMA NA WAFUASI WAO WAKAPIMWE AKILI?.
-------------------------------------------------
Tangu asubuhi Leo vijana wa CHADEMA wametokwa na mishipa ya shingo Kumshambulia Zitto eti ni Mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi Ya kamishina mstaafu wa TRA Kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya EGM inayohusishwa na Utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie CHADEMA mlifikiri Zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa Kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa Kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni Kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha Zitto aendelee na majukumu yake..

Eti Zitto Mnafiki.

Hivi unaweza Kumlinganisha Zitto Na Mbowe kwa unafiki?...Mbowe aliyesimama kidete Kumtukana LOWASSA na baadae kumsafisha?.

Mmesahau Mbowe alivyorudisha gari la BUNGE (KUB) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na Lissu wa CHADEMA kwa unafiki?...Lissu aliyeshirikiana na Slaa kusoma Orodha ya Mafisadi na Kumtukana Lowassa mpaka matusi ya Nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto Na Mnyika wa CHADEMA kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na Ushahidi wa UFISADI wa Lowassa na kuishia kumnadi kama Rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na MSIGWA wa CHADEMA kwa Unafiki?..Msigwa aliyetaka wanaomuunga Mkono Lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha Zitto na Lema wa CHADEMA kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa kwa maana ni FISADI na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na FISADI namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha Zitto na CHADEMA kwa unafiki, CHADEMA walioweka orodha ya MAFISADI katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na Fisadi namba 9?...

CHADEMA waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

CHADEMA kwa sasa ndio kisima cha Wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na Zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa CCM.

Habibu Mchange
0762178678
Dar es salaam.

Kwa maelezo yako inaonekana wote ni wanafiki ila wanatofautiana ubora na timing ktk unafiki wao.
 
Wape wamezoea vya kunyonga hao vya kuchinja hawawezi,manyumbu ndo kazi yao ilibaki kushambulia watu ,Sera wameishiwa,biashara imedoda
 
Wahaya wana usemi usemao:
MWANAUME ANABADILIKA KITANDANI TU LAKINI SIO KWENYE KAULI
Hao uliowasema walijitahidi kukipulizia marashi kinyesi Ili kinukie vizuri.
Nalog off
 
another whistle blower blowing the whistle to guards,protect someone from shame action made from his own statement ,statement is clear showing what the guy zitto was arguing about the kitilya ,nothing to protect ,nothing to hide from this action ,do not throwing stone to glass housemadefrom while yours is the same ,
 
GENGE LA WANAFIKI WA CHADEMA NA WAFUASI WAO WAKAPIMWE AKILI?.
-------------------------------------------------
Tangu asubuhi Leo vijana wa CHADEMA wametokwa na mishipa ya shingo Kumshambulia Zitto eti ni Mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi Ya kamishina mstaafu wa TRA Kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya EGM inayohusishwa na Utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie CHADEMA mlifikiri Zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa Kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa Kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni Kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha Zitto aendelee na majukumu yake..

Eti Zitto Mnafiki.

Hivi unaweza Kumlinganisha Zitto Na Mbowe kwa unafiki?...Mbowe aliyesimama kidete Kumtukana LOWASSA na baadae kumsafisha?.

Mmesahau Mbowe alivyorudisha gari la BUNGE (KUB) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na Lissu wa CHADEMA kwa unafiki?...Lissu aliyeshirikiana na Slaa kusoma Orodha ya Mafisadi na Kumtukana Lowassa mpaka matusi ya Nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto Na Mnyika wa CHADEMA kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na Ushahidi wa UFISADI wa Lowassa na kuishia kumnadi kama Rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha Zitto na MSIGWA wa CHADEMA kwa Unafiki?..Msigwa aliyetaka wanaomuunga Mkono Lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha Zitto na Lema wa CHADEMA kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa kwa maana ni FISADI na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na FISADI namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha Zitto na CHADEMA kwa unafiki, CHADEMA walioweka orodha ya MAFISADI katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na Fisadi namba 9?...

CHADEMA waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

CHADEMA kwa sasa ndio kisima cha Wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na Zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa CCM.

Habibu Mchange
0762178678
Dar es salaam.

Umeeleweka vema,nimekuchangia pesa za matumizi kwa M-Pesa kupitia namba yako uliyoiweka kwenye bandiko lako,ahsante.
 
vipi ulishinda ubunge kaka ulikogombea??

act ni tawi la ccm kwahyo walimnyima hata kura elfu 5 hakupata huyu mpuuzi
mchange asahau kuja kuwa mbunge labda mwenyekiti wa act maana ni rahisi sana
 
Wape wamezoea vya kunyonga hao vya kuchinja hawawezi,manyumbu ndo kazi yao ilibaki kushambulia watu ,Sera wameishiwa,biashara imedoda

Tukutane bungeni kama hamjaomba poo
Mbunge mmoja wa ukawa ni sawa na wabunge 10 wa CCM
 
genge la wanafiki wa chadema na wafuasi wao wakapimwe akili?.
-------------------------------------------------
tangu asubuhi leo vijana wa chadema wametokwa na mishipa ya shingo kumshambulia zitto eti ni mnafiki kwa kuwa aliwahi kuisifu kazi ya kamishina mstaafu wa tra kitilya.

Hii ni baada ya kamishna huyo kuonekana sehemu ya kampuni ya egm inayohusishwa na utapeli wa bilioni 16 za mkopo.

Hivi nyie chadema mlifikiri zitto anaweza kujua yaliyo moyoni mwa kitilya?.. Zitto alisifu utendaji kazi wa kitilya ambao kila mtanzania aliuona na sio makando kando yake. Ni kitilya na wenzake ndio wa kujieleza kwanini wameshiriki udanganyifu huo (kama wameshiriki). Na kumuacha zitto aendelee na majukumu yake..

Eti zitto mnafiki.

Hivi unaweza kumlinganisha zitto na mbowe kwa unafiki?...mbowe aliyesimama kidete kumtukana lowassa na baadae kumsafisha?.

Mmesahau mbowe alivyorudisha gari la bunge (kub) kwa mbwembwe na bashasha akijidai anaunga mkono kubana matumizi na kulichukua tena kimyakimya

hivi unaweza kumlinganisha zitto na lissu wa chadema kwa unafiki?...lissu aliyeshirikiana na slaa kusoma orodha ya mafisadi na kumtukana lowassa mpaka matusi ya nguoni?.

Hivi unaweza kumlinganisha zitto na mnyika wa chadema kwa unafiki?..mnyika aliyetamba kuwa na ushahidi wa ufisadi wa lowassa na kuishia kumnadi kama rais?..

Hivi unaweza kumlinganisha zitto na msigwa wa chadema kwa unafiki?..msigwa aliyetaka wanaomuunga mkono lowassa wapimwe akili na yeye mwenyewe akaishia kumnadi bila aibu.

Unaweza kumlinganisha zitto na lema wa chadema kwa unafiki?.

Lema aliyesema ni heshima kubwa kwa mungu kumzomea lowassa kwa maana ni fisadi na baadae yeye mwenyewe kunadiwa na fisadi namba 9 katika orodha ya chadema?..

Umaweza kumlinganisha zitto na chadema kwa unafiki, chadema walioweka orodha ya mafisadi katika mtandao wao kwa miaka 8 na kuiondoa ghafla baada ya chama kununuliwa na fisadi namba 9?...

Chadema waliogoma kuacha kupokea posho za vikao na kumuacha zitto peke yake aendelee kutokuzipokea na wao kuramba pesa za walipa kodi.

Chadema kwa sasa ndio kisima cha wanafiki waliojificha kwenye wimbi la ukamanda.

Achaneni na zitto fanyeni yenu na wanafiki wenzenu pamoja na mafisadi wenu mliowatoa ccm.

Habibu mchange
0762178678
dar es salaam.

elimu ya udom haijakusaidia kumbe

we mchange unajikomba ili uongezewe posho na chama chenu cha uchaguzi
 
Ha haaa haaaa..... unamtetea msaliti maana kashikilia akili zako.... bila kufanya hivi utakula wapi wakati ubunge nao umekosa? Zito ni mtu hatali sana kwenye siasa za bongo.... we mwenyewe unajitoa ufahamu tu.... zito alimtaka sana Edo aende ACT..... sijui wakati huo ufisadi unao usema haukuwepo??? Ufisadi wa tz ni wa kimfumo zaidi maana hata JPM ana makandokando yake.... Mkapa na kiwira, JK na escrow etc na wengi tu wako hv..
 
Huyu mchange hana cha kujivunia labda uchawi na uongo..yeye hana hoja..kila akipanda jukwaani ugonjwa wa lowassa na msiba wa chacha wangwe..kwa pumba hizi hawezi kupata ata ujumbe wa nyumba 10
 
Huyu jamaa...sijui anapata wap ujasiri wakuandika haya wakati alipata kura buku tatu ...tu.....ingekuwa mm wala nisingetoka ndan
 
Mchange kaongea ukweli kabisaaa, Ukweli Kitilya kafanya makubwa sana pale TRA na yanaonekana, suala la ufisadi moyo kiza kinene.Bila habari hizi kuibuliwa nadhani hakuna ambaye angejua kuwa jamaa alihusika na ufisadi.

Tumuache Zitto afanye kazi yake, awatumikie watanzania tunaomhutaji.

Zitto ni jembe huwezi kulinganisha na chadema yeyote. Period.
unajidhalilisha makusudi au umerogwa ?
 
Back
Top Bottom