Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Aug 18, 2014 #1 Wapendwa, nahitaji generator ndogo ya kutoa kama 100w ila isiwe 2stroke kwani zimeonesha kuwa mbovu na umeme wake sio stable. Kama unayo unaweza kunipm na specification tukaweka plan asante
Wapendwa, nahitaji generator ndogo ya kutoa kama 100w ila isiwe 2stroke kwani zimeonesha kuwa mbovu na umeme wake sio stable. Kama unayo unaweza kunipm na specification tukaweka plan asante