EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,232 Reaction score 20,813 Dec 2, 2017 #1 Habari za majukumu wakuu.Mimi nipo mbeya.Ninauliza kama kuna yeyote anayejua sehemu wanayouza majenereta ya umeme hapa mbeya.Nataka nipate jenereta jipya kwa ajili ya shughuli zangu mgao wa umeme umekuwa mkali
Habari za majukumu wakuu.Mimi nipo mbeya.Ninauliza kama kuna yeyote anayejua sehemu wanayouza majenereta ya umeme hapa mbeya.Nataka nipate jenereta jipya kwa ajili ya shughuli zangu mgao wa umeme umekuwa mkali