Generator inayofaa kwa matumizi ya Barbershop

Generator inayofaa kwa matumizi ya Barbershop

biling

Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
14
Reaction score
6
Habari zenu wakuu nauliza hivi ni generator gani na yenye uwezo gani kwa matumizi ya barbershop na tafadhali ningependa kujua bei zake.
Iweze kusukuma vitu kama ac, water heater and mengineyo.
 
Back
Top Bottom