Generator 5KV linahitajika

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,622
Nahitaji generator kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama kuwasha TV, Taa, Friji na AC. Kwa wenye utaalamu ni generator gani nzuri kwa haya mahitaji? Na ni wapi naweza kupata.

Pia ningependa kujua size (ukubwa)
 
Hapo juu kwenye rating ya generator nafikiri inabidi iwe kVA na sio kV.
 
Gen set ndogo kwa domestic use sizijui ningekuwa nafahamu ningetoa maelezo tangu mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…