SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
JK kwa nia njema kabisa alianzisha mchakato wa katiba mpya na kuhakikisha unaendelea kwa kasi huku ukitengewa fedha za kutosha. Tatizo pekee ni MUDA, nikimaanisha muda wake wa kuongoza uliisha kabla mchakato haujakamilika na yeye kwa kuheshimu katiba hakutaka kuhairisha uchaguzi ili kujipa muda wa kukamilisha katiba mpya.
JPM alishiriki mchakato wa katiba mpya vizuri na alikuwa katika bunge maarum la katiba mpya. Ni mmojawapo ya wale walioipigia rasimu ya change kura ya ndiooo. Akijua kabisa mchakato unapaswa kumaliziwa ameingia na ghafla kutangaza eti KATIBA MPYA SIO KIPAUMBELE CHAKE NA AKAITOSA.
Sasa huyu mnafiki anayesema eti aliyeanzisha mchakato amekosea na aliyeuzuia kapatia anapata wapi hiyo credibility?? au ndo UOGA wa kuwasema watawala waliopo kwa kuwa wana machinery zote na kuwaonea wale waliopita??
labda tusaidiane humu, regardless ya katiba ya nani ilipitishwa, je katika mchakato mzima wa katiba mpya hivi nani anapaswa kushtakiwa kwa kupoteza pesa za umma. Aliyeanzisha mchakato au aliyeutupilia mbali mchakato