MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 751
- 791
Sijaelewa. FafanuaView attachment 3274038
Generali Andrew Ehonza enzi za uuhai wake.
View attachment 3274039
Picha iliyopelekea kifo chake.
Baada ya kupiga picha na raia wa Minembwe alikokuwa kiongozi, miaka ya nyuma, kwa sasa picha hii imekuja kutafusiliwa kama usaliti, ndo kilichopelekea kuuwawa na kundi la wazalendo.
Mwanajeshi wa Congo, cheo cha Generali, alikabidhiwa majukumu na kupewa kanda yake ya uongozi.Sijaelewa. Fafanua
Ahaa! Du! Nilidhani ameuawa kwenye mapambano na M23Mwanajeshi wa Congo, cheo cha Generali, alikabidhiwa majukumu na kupewa kanda yake ya uongozi.
Kanda hiyo, ikawa ni moja wapo wa maeneo yenye watutsi waitwao wanyamlenge.
Alivyoenda huko, akatembelea maeneo mbali mbali. Kufika huko, akakutana na wazee wa eneo hilo, kumuelezea changamoto wanazokumbana na zo.
Baada ya maongezi, kama inavyoonekana, maana hao watu ni wafugaji, walijikalia chini kwenye nyasi, wakapigwa na picha.
Sasa hili sakata la vita lilipoanza, nae akawa amekimbilia Uvira.
Wakakumbuka aliwahi kupiga picha akiwa na watutsi. Moja kwa moja ikatafusiliwa kuwa ni usaliti, hakutakiwa hata kuonana nao. Kosa likawa ni hilo, na likapelekea kuuliwa na kundi la wazalendo.
Hapana,Ahaa! Du! Nilidhani ameuawa kwenye mapambano na M23
So sad newsMwanajeshi wa Congo, cheo cha Generali, alikabidhiwa majukumu na kupewa kanda yake ya uongozi.
Kanda hiyo, ikawa ni moja wapo wa maeneo yenye watutsi waitwao wanyamlenge.
Alivyoenda huko, akatembelea maeneo mbali mbali. Kufika huko, akakutana na wazee wa eneo hilo, kumuelezea changamoto wanazokumbana na zo.
Baada ya maongezi, kama inavyoonekana, maana hao watu ni wafugaji, walijikalia chini kwenye nyasi, wakapigwa na picha.
Sasa hili sakata la vita lilipoanza, nae akawa amekimbilia Uvira.
Wakakumbuka aliwahi kupiga picha akiwa na watutsi. Moja kwa moja ikatafusiliwa kuwa ni usaliti, hakutakiwa hata kuonana nao. Kosa likawa ni hilo, na likapelekea kuuliwa na kundi la wazalendo.
Hao wazalendo ni kabila ganiMwanajeshi wa Congo, cheo cha Generali, alikabidhiwa majukumu na kupewa kanda yake ya uongozi.
Kanda hiyo, ikawa ni moja wapo wa maeneo yenye watutsi waitwao wanyamlenge.
Alivyoenda huko, akatembelea maeneo mbali mbali. Kufika huko, akakutana na wazee wa eneo hilo, kumuelezea changamoto wanazokumbana na zo.
Baada ya maongezi, kama inavyoonekana, maana hao watu ni wafugaji, walijikalia chini kwenye nyasi, wakapigwa na picha.
Sasa hili sakata la vita lilipoanza, nae akawa amekimbilia Uvira.
Wakakumbuka aliwahi kupiga picha akiwa na watutsi. Moja kwa moja ikatafusiliwa kuwa ni usaliti, hakutakiwa hata kuonana nao. Kosa likawa ni hilo, na likapelekea kuuliwa na kundi la wazalendo.
Mchanganyiko wa makabila mengi ya DRCHao wazalendo ni kabila gani