Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
kuna watu waongo jamani
Hata mimi nimejalibu kwenye laptop yangu imegoma!Mbona mm hazikubali au mpaka nitumie Keyboard yenye NUM LOCK
kama uliyoonesha kwenye picha
Hizo nimeweka tu kwa ajili yangu mimi ukizipenda tumia usipozipenda usizitumie acha tu mkuu TUKUTUKUMkuu MziziMkavu kwanini nitumie njia ndefu ilihali hizi symbol zinapatikana tu!
Mkuu TUKUTUKU jaribu kutumia tuMkuu MziziMkavu kwanini nitumie njia ndefu ilihali hizi symbol zinapatikana tu!
Hizo nimeweka tu kwa ajili yangu mimi ukizipenda tumia usipozipenda usizitumie acha tu mkuu TUKUTUKU
duh!mimi zimenishinda kabisa!mkuu nimezipenda,ni rahisi kuzitumia.
hongera mkuu, naona somo limeeleweka kwako!njunwa wamavoko©
umedanganywa nini tena mkuu!kuna watu waongo jamani
teh teh teh!mtoa hoja!'for example...?'
Izo symbol zote zinapatikana.. Start> All Programs> Accessories> System Tools>Character map. au unaweza search "character map"
ni kweli mkuu,jamaa ameamua kutoa njia mbadala wa namna ya kuzipata!izo symbol zote zinapatikana.. Start> all programs> accessories> system tools>character map. Au unaweza search "character map"