hawez maliza wote, kama wameamua kwel hilo haliwezekani labda wawe wanabeep, jumuiya ya kimataifa haiwez kukaa kimya ikimuangalia akiwamaliza.Wasijaribu MuSaba atawamaliza, mito ya ile nchi imekunywa damu nyingi sana za watu wa aina yao.
We haya mambo ya siasa huyawezi, wewe fungua tu nyuzi za makafiri wenzako ewe myahudi wa tandahimaMuseveni aanza mapambano dhidi ya Gen Z, japo sidhani kama wale wana uthubutu....
Ugandan police deployed heavily around Kampala City on Monday to forestall planned protests by the youth against corruption in government.
In what reflects methods used by their counterparts in Kenya, where the youth, popularly referred to as Gen-Z, pushed President William Ruto to drop the controversial Finance Bill, 2024 and sack the Cabinet, the Ugandans have been mobilising online, particularly on social media.
Party leaders arrest
Meanwhile, security agencies on Monday deployed at junctions and roundabouts leading to and from the city centre, including Busega on the Kampala-Masaka highway, and Constitutional Square, which was akin to a makeshift barracks.
The National Unity Platform headquarters in Makere-Kivulu, where the party was set to hold a press briefing, was cordoned off by the Army and police, and the party Vice-President Lina Zedriga was arrested and bundled into a police vehicle.
A car belonging to another party leader, Mityana Municipality MP Francis Zaake, was towed by the police while he was still behind the wheel.
Uganda deploys army, police as Gen-Z protests spread
Like his Kenyan counterpart Ruto, Museveni accused the protest organisers of "working with foreigners" to cause chaos in Uganda.www.theeastafrican.co.ke
Hakuna mtu mnafiki Kama jumuiya ya kimataifa. Gaza imechakazwa Mimi na wewe tuko kimya. Rwanda walichinjana Kama kuku 800,000 in a hundred days, Nani alinyanyua kidole?hawez maliza wote, kama wameamua kwel hilo haliwezekani labda wawe wanabeep, jumuiya ya kimataifa haiwez kukaa kimya ikimuangalia akiwamaliza.
hii ishu inaweza wasumbua sana watawala wa ea
Hakuna kinachoweza kumaliza nguvu ya umma bali woga tu. Risasi haiwezi.Wasijaribu MuSaba atawamaliza, mito ya ile nchi imekunywa damu nyingi sana za watu wa aina yao.
Hayawezi kivipi?Kwani amewabeba mgongoni wanaoandamana au ameandika taarifa tu?We haya mambo ya siasa huyawezi, wewe fungua tu nyuzi za makafiri wenzako ewe myahudi wa tandahima
Acha kujidanganya.Jifunze kuhusu watu waliokata tamaa.Hakuna risasi wala mateso wanaogopa.Wasijaribu MuSaba atawamaliza, mito ya ile nchi imekunywa damu nyingi sana za watu wa aina yao.
We haya mambo ya siasa huyawezi, wewe fungua tu nyuzi za makafiri wenzako ewe myahudi wa tandahima
Walijisahau sana nadhan waliona raia wa EA kama mazwazwa sana.hawez maliza wote, kama wameamua kwel hilo haliwezekani labda wawe wanabeep, jumuiya ya kimataifa haiwez kukaa kimya ikimuangalia akiwamaliza.
hii ishu inaweza wasumbua sana watawala wa ea
Sahihi.Hakuna kinachoweza kumaliza nguvu ya umma bali woga tu. Risasi haiwezi.
Sawa, Wacha tuoneAcha kujidanganya.Jifunze kuhusu watu waliokata tamaa.Hakuna risasi wala mateso wanaogopa.
ÀahaaaKikongwe Museveni hali tete
Hizi mada haziwezi! Unamtetea au ndie anaekukaza?Hayawezi kivipi?Kwani amewabeba mgongoni wanaoandamana au ameandika taarifa tu?
Vipi na nyinyi ambao ni amri kuingia kanisani ukiwa na ndoa ya jinsia mojahehehe hivi nyie huwa mnapiga siasa za dunia hii, ukisha vaa makobaz na kucheza bao huko Pwani na kuhudhuria madrassa mnakopokezana ujinga, hapo unakua ndio ushamaliza.
Wewe huwa unamkaza baba yako mzazi?Hizi mada haziwezi! Unamtetea au ndie anaekukaza?
Wewe ni mchepuko wa huyo mleta mada?Hayawezi kivipi?Kwani amewabeba mgongoni wanaoandamana au ameandika taarifa tu?