Gen. Mathew Sukambi ametutoka

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Gen. Mstafu Mathew Sukambi ametutoka na kutuachia simanzi kubwa baada ya kuugua muda mfupi.

Nilimfahamu kama mchapa kazi, mtu wa watu sana na mkarimu. Alipenda kunishauri kama mwanaye na nilimsikikiza kwa makini na kumtii zaidi ya kiongozi wangu tangu tukiwa 23KJ Biharamulo yeye akiwa CO mwenye cheo cha Kanali mpaka anakuwa Mkuu wa Chuo cha Monduli na baadaye Brigedia wa Brigedi ya Faru mkoani Tabora, akimpisha Gen. Mwakibolwa alikwenda Congo kuwakimbiza M23.

R.I.P Gen. MM Sukambi

Screenshot_20200107-024846.png

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyeo vya kijeshi havitajwi kwa kufupi mkuu.
 
Kumbe wewe ni kamanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom