Gemu ya kuslaidi -

duuuuh umenikumbusha mbaali sana.
utoto raha sana
 
Niliwahi kukaa kwenye shimo ya cobra akanitemea machoni,nilianza kukimbia nyumbani kuelekea nyumbani,niliwekewa samli machoni,nikalala kwa masaa kama 5 nilipoamka kuona shida ila nilikuja kuona vizuri,hiyo game noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…