Refrector
Senior Member
- Mar 13, 2014
- 187
- 118
Kampuni ya GEMAB ENTERPRISES imekuletea fursa ww mwananchi wa kawaida kabisa kwa kukuletea huduma nyumbani kwako kwa maana inajishughulisha na yafuatayo:- 1. Inajishughulisha na ufanyaji wa usafi majumbani, tunatoa huduma ya usafi kwa nyumba binafsi na huduma ya ufuaji/udobi nguo kwa siku/wiki/mwezi inategemea na mahitaji ya mteja. 2.Usambambazaji wa vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa 1200.tu kwa kifaranga kimoja. 3.Tunafundisha elimu ya ujasiliamali na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo batiki na ushonaji wa nguo za asili kwa sindano ya mkono na shanga,mishumaa ya mbu,mafuta mgando,sabuni za unga,kipande na kuogea kwa mbegu mbegu za asili. 4. Kutafutia nafasi za kazi wanaohitaji ajira na kuwaunganisha na waajiri. TUNAWAKARIBISHA NYOTE MFAIDIKE NA HUDUMA ZETU.0657257509