Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.Mkoa wa Geita upo Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni maarufu kwa shughuli za kilimo na ufugaji, pamoja na madini, hasa dhahabu. Mkoa huu una historia ya utajiri wa madini, hususan kupitia mgodi maarufu wa Geita Gold Mining.
Idadi ya Watu
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Geita ni watu 2,977,608; wanaume 1,463,764 na wanawake 1,513,844.Mkoa huu una Halmashauri sita (6) na majimbo saba (7) ya uchaguzi ambapo Jimbo la Busanda linaongoza kwa kuwa na watu wengi (671,761) likifuatiwa na Jimbo la Chato (watu 584,963). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Jimbo la Nyang'hwale ambalo lina watu 225,803, huku ukiwa na wilaya 6.
Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo 7 ya uchaguzi:- Jimbo la Geita Vijijini
- Jimbo la Busanda
- Jimbo la Geita Mjini
- Jimbo la Nyang'hwale
- Jimbo la Mbogwe
- Jimbo la Bukombe
- Jimbo la Chato
Mkoa wa Geita ulishiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiliibuka na ushindi mkubwa.
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Hayati John Pombe Magufuli, alipata kura nyingi zaidi kulinganisha na wapinzani wake.
Katika uchaguzi wa Ubunge, wagombea walishinda kwa kishindo kwa kura nyingi, huku wengine wakipita bila kupingwa na CCM kujinyakulia majimbo yote.
Uchaguzi wa Madiwani, (CCM) walipata ushindi mkubwa kwenye nafasi za madiwani ikifanikiwa kushinda kwa kishindo. Hii ilitokana na upinzani kukumbwa na changamoto nyingi, zikiwemo wagombea wao kuenguliwa kutokana na matatizo ya kisheria au kutokidhi vigezo
Kulikuwa na malalamiko kutoka kwa vyama vya upinzani kama vile CHADEMA na ACT-Wazalendo kuhusu kutokuwepo kwa uwazi na haki katika mchakato wa uchaguzi.
Updates
January
- Pre GE2025 - Stephen Wasira Amjibu John Heche Kuhusu Umri Wake Mkubwa. Asema Gari ni Injini Na Siyo Bodi
- Pre GE2025 - Wassira: Maridhiano ni lazima, nchi nyingi za Africa zilipitia Mapinduzi ya Kijeshi Lakini Tanzania tumekuwa Kisiwa Cha Amani!
- Pre GE2025 - Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru
- Pre GE2025 - Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'
- Pre GE2025 - Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga
- Pre GE2025 - Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais
- Pre GE2025 - Mbunge Kassu: Sitovumilia tuhuma za uongo dhidi yangu kuhusu matumizi ya mfuko wa jimbo
- Pre GE2025 - Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Doto Biteko apite bila kupingwa nafasi ya ubunge ndani ya CCM, kwenye udiwani tutapambana
- Pre GE2025 - Jakaya Kikwete: Niwaambie kuwa mambo mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko
- Pre GE2025 - Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu
- Pre GE2025 - Evaristi Gerevas: Vijana msiishie kuwa wapambe na wabeba mikoba ya wagombea, gombeeni ubunge na udiwani
- Pre GE2025 - Wazee maarufu Geita wakabidhi fimbo na kuku kwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa
- Pre GE2025 - Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!
- Pre GE2025 - Dtk. Biteko awataka walimu wasijione duni waeleze shida zao, ataka pia wasikilizwe wakiwasilisha shida hizo
- Pre GE2025 - Geita: CCM yawanunulia wanafunzi TV kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na Rais Samia ili yawasaidie katika masomo yao
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu
- Pre GE2025 - Medard Kalemani: CCM Chato tunahita utulivu na umoja kwenye kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi
- Pre GE2025 - Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM
- Pre GE2025 - Luhaga Mpina: Sitakaa kimya dhidi ya Ufisadi na Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma
- Pre GE2025 - UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
- Pre GE2025 - Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UVCCM Geita: Hatufurahishwi kuona vijana wetu wanaondoka duniani kwa kutekwa! Tunalaani na kukemea matendo haya!
- Pre GE2025 - Mbunge Musukuma atumia zaidi ya Tsh bilioni 1 kununua ambulance, gari la Polisi na kujenga kituo cha Polisi Geita Vijijini
- Pre GE2025 - Mbunge Kanyasu aeleza Mafanikio ya uongozi wake katika Jimbo la Geita
- Pre GE2025 - UVCCM Geita yamtaka Mbunge Kanyasu aombe radhi vijana kwa kauli zake
- Pre GE2025 - Geita: Erick Shigongo atoa msaada wa vifaa vya michezo
- Pre GE2025 - Manjale: Vyama vingine vilikuwa vinasema bodaboda ni kazi ya laana
- Pre GE2025 - Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo
- Pre GE2025 - UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama
- Pre GE2025 - Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa wa Geita yapitisha mgawanyo wa Majimbo ya Chato na Busanda kwa maendeleo
- Pre GE2025 - Geita: Majimbo ya Uchaguzi ya Chato na Busanda kugawanywa, Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) yathibitisha
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UVCCM Geita: Hatufurahishwi kuona vijana wetu wanaondoka duniani kwa kutekwa! Tunalaani na kukemea matendo haya!
- Pre GE2025 - Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
- Pre GE2025 - Kagera: Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 "wamshukuru" Rais Samia kwa kutenga Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa shule yao
- Pre GE2025 - Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba
- Pre GE2025 - Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani
- Pre GE2025 - Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UWT Mkoa wa Geita atoa Printa kwa shule ya sekondari Nyang'hwale
- Pre GE2025 - Msukuma: Kuna fukuto la kumuondoa Tundu Lissu
- Pre GE2025 - GEITA: Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia
- GEITA: UVCCM yasema CCM haijaruhusu fujo na harakati kwenye majimbo
- Pre GE2025 - Mbunge wa Mbogwe Asema Akishindwa Uchaguzi Asiongezewe Kura Fake, na akishindwa atangazwe kwa haki
- Pre GE2025 - GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia
- Pre GE2025 - UVCCM GEITA: Kikao cha viongozi wa CHADEMA Bagamoyo lengo kuu lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani kwa sababu wao sio Watanzania
- Pre GE2025 - Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Vijana msitumike kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo kuelekea uchaguzi 2025
- Pre GE2025 - UWT Geita wasema wapo tayari kumpigia Rais Samia Kura za 'Ndio'
- Pre GE2025 - Msukuma: Kuna fukuto la kumuondoa Tundu Lissu CHADEMA
- Pre GE2025 - Kawaida: Nitavitaja vyama vinavyofadhili vijana kufanya vurugu
- Pre GE2025 - Geita: Wananchi 38 waikacha CHADEMA na kujiunga CCM
June
- Pre GE2025 - Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa
- Pre GE2025 - Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini
- Pre GE2025 - Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM
- Pre GE2025 - Stephen Wasira: Kaeni Kimyaaaa Kama Hamjui Nchi Ilikotoka
- Pre GE2025 - Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa
- Pre GE2025 - Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini
- Pre GE2025 - Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM
- Pre GE2025 - Stephen Wasira: Kaeni kimya kama hamjui nchi ilikotoka
- Pre GE2025 - Ramadhani Njala atangaza nia kugombea Ubunge Jimbo la Geita Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo
- Pre GE2025 - Kulwa Biteko achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Katoro
- Pre GE2025 - Ester James amejitokeza, kuwania nafasi ya ubunge Jimbo Jipya la Katoro
- Pre GE2025 - Magambo achukua fomu kuwania Ubunge jimbo la Geita Mjini
- Pre GE2025 - Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro
- GE2025 - Magembe Noni ajitosa Ubunge Jimbo la Geita Mjini
- Pre GE2025 - Mpwa wa Hayati Magufuli atinia kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini
- Pre GE2025 - Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro
- Pre GE2025 - Jamal Mangu, ajitosa ubunge Jimbo la Nyang’hwale
- Pre GE2025 - Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe Happiness Seneda kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita
- Pre GE2025 - Mchimbaji madini Jumanne Misungwi ajitosa kuwania udiwani Kata ya Ludete
- Pre GE2025 - Joffrey Mwankenja achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa
- Pre GE2025 - Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro
- GE2025 - Wakili Patrick Malogoi arejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Geita kupitia CCM
- GE2025 - Rose Vicent Busiga achukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea ubunge, Mbogwe
- GE2025 - TAKUKURU Bukombe: Mawakala wa Miamala ya fedha msitumike kupitisha rushwa wakati wa uchaguzi
- GE2025 - Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu
- GE2025 - INEC yawataka wasimamizi wa Uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria
- GE2025 - Dkt. Biteko akiomba kura za wajumbe, asema 'Moyoni mwangu ninalo deni kubwa sana la kufanya kazi zaidi'
- GE2025 - Biteko: Sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka
- GE2025 - Msafara wa Gombo wasimamishwa na wananchi Geita
- GE2025 - Biteko: Kumchagua Samia ni kuchagua maendeleo
- GE2025 - Wasimamizi wa Uchaguzi Geita Waaswa Kuepuka Vitisho na Upendeleo
- GE2025 - Salum Mwalimu: Mpambano wa CCM na CHAUMMA ni Mustakabali wa Maisha yetu siyo Mchezo wa Simba na Yanga
- GE2025 - Mhandisi Kija Limbu aahidi kukamilisha Zahanati ya Kageye Baada ya Mkandarasi Kufukuzwa
- GE2025 - Sophia Simwa apiga magoti Kageye kuomba Kura za Rais Samia, Kija Limbu na Roza Mussa
- GE2025 - Samia: Tutafanya utafiti mkubwa wa Madini Mbogwe
- GE2025 - Regina Mikenze: Hatutaki kumpoteza kijana hata mmoja katika maandamano, tunawaomba mkaitunze amani ya Tanzania
- GE2025 - Makonda: Kila dereva Boda boda ukibeba abiria mwambie naomba Kura kwa ajili ya Samia
- GE2025 - Samia: Tutajenga viwanda vya kuchakata maziwa Bukombe
- GE2025 - Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu
- GE2025 - Biteko: Samia ni msikivu, atawapa Katiba mpya
- GE2025 - John Bina: Wanaotaka kuandamana Oktoba 29, Samia usiwahuruhusu, walegezwe kidogo, ningepewa hata unaibu IGP ningewavunja asubuhi tu!
- GE2025 - Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'
- GE2025 - Musukuma: Hatufanyi kazi kwa kusikiliza mitandao
- GE2025 - Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi
- GE2025 - Mchungaji Zacharia: Mungu wabariki Watanzania wote wakakipigie Kura CCM kishinde kwa kishindo
- GE2025 - Dotto Biteko: Nitawashanga sana watakaohoji ushindi wa CCM uchaguzi mkuu
- GE2025 - SACP Safia Jongo: Vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha usalama wa wapiga kura Oktoba 29
- GE2025 - Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo adaiwa kutekwa
Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
- GEITA
JIMBO LA BUKOMBE- Ndugu Dotto Mashaka BITEKO (PHD)
- JIMBO LA BUSANDA
1. Ndugu Lolesia Masele BUKWIMBA
2. Ndugu Dr. Busanda Lucas BUSANDA
3. Ndugu Dr. Jafar Rajab SEIF
4. Ndugu Dr. Sadock Peter MATHIAS
JIMBO LA CHATO KASKAZINI
1. Ndugu Cornel Lucas MAGEMBE
2. Ndugu Medrad M. C. KALEMANI
3. Ndugu Fransis Dotto FEDRICK
4. Ndugu Simon Michael BULENGANJA
5. Ndugu Cosmas Ismail MAKONGO
JIMBO LA CHATO KUSINI
1. Ndugu Paschal Lucas LUTANDULA
2. Ndugu Deusdedit Josephat KATWALE
3. Ndugu Philbert Marco BULURA
4. Ndugu Sylvester Mapinda SAIMON
JIMBO LA GEITA MJINI
1. Ndugu Chacha Mwita WAMBURA
2. Ndugu Costantine John KANYASU
3. Ndugu Upendo Furaha PENEZA
4. Ndugu Gabriel luhumbi ROBERT
5. Ndugu John Udoya SAULO
JIMBO LA GEITA
1. Ndugu Emmanuel Luponya SHEREMBI
2. Ndugu Musukuma Joseph KASHEKU
3. Ndugu Patrick Stephen MALOGOI
4. Ndugu Sophia John MASHALA
JIMBO LA KATORO
1. Tumaini Bryceson MAGESSA
2. Ndugu Kija Limbu NTEMI
3. Ndugu Esther James NG’HOME
4. Ndugu Mathias Halawa LUPUGA
5. Ndugu Saimon Masalu MALANDO
JIMBO LA MBOGWE
1. Ndugu Augustino Mnyanda MASELE
2. Ndugu Fagason Amos MASASI
3. Ndugu Patrick George MSAFI
4. Ndugu Isaya Salum KINGI
JIMBO LA NYANG’WALE
1. Ndugu Eng. Evarist Welle NDIKILO
2. Ndugu Hussein Nasorro AMAR
3. Ndugu Thomas Cosmas JIBUSHI
4. Ndugu Joyce Robert KAKUMBI