Geita: CCM wanusurika kifo wakigombea rushwa ya Chumvi

Bavichwa bana! we tokea lini chumvi ya sh mia mia ikawa rushwa!? wameona hao ndio nguzo za.ushindi ndio wakawaundia zengwe kama ni kweli taarifa yenyewe maana imekuja kiupande mmoja tu.

Ebu tutafakari mimi na wewe kati ya anayetoa rushwa ya chumvi na huyu anayepokea ni nani ambae akili zake ni ndogo na hajitambui kabisa?

2.jpg
 
Am a kweli umasikini ccm waliowapa watanzania ni mkubwa sana , mpaka chumvi imekuwa bidhaa adimu kwao.
 
Back
Top Bottom