thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,866 Reaction score 4,854 Jun 26, 2016 #1 Leo kipindi naangalia salio kwenye akaunti ya voda nikaona kuna ujumbe unaosema ....."pata hadi GB 80 kwa Tsh 200! tu piga *149*01# sasa" ukienda huko sioni chochote mwenye uelewa wa hili tafadhari.
Leo kipindi naangalia salio kwenye akaunti ya voda nikaona kuna ujumbe unaosema ....."pata hadi GB 80 kwa Tsh 200! tu piga *149*01# sasa" ukienda huko sioni chochote mwenye uelewa wa hili tafadhari.
shoohenry Member Joined Jun 21, 2016 Posts 58 Reaction score 12 Jun 26, 2016 #2 Yani iyo gb 80 no kwa gharama ya sh.80,000. Na sio kama walivosema