Gazeti namba 1 Tanzania

Gazeti namba 1 Tanzania

tity

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
44
Reaction score
15
"Mwanahalisi" gazeti linalowanyima usingizi mtaa wa pili...." ni vigumu sana akili ndogo kuitawala akili kubwa".

Kubenea dai fidia yako sasa! 1447667824344.jpg
 
Labda hilo gazeti ni
namba moja huko msoga
ila sio CHATO .

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Maguguli atahutubia na wenye kusimama watasimama! Magufuli siyo Spika kuwa watamletea mzaha kama walivyomfanyia Makinda. Adhabu ya kumdharau Mkuu wa nchi wanaifahamu!
 
Neutral papers includes:
Mwananchi ,Citizen (for daily papers) and Raia Mwema (for weekly papers)
 
maguguli atahutubia na wenye kusimama watasimama! Magufuli siyo spika kuwa watamletea mzaha kama walivyomfanyia makinda. Adhabu ya kumdharau mkuu wa nchi wanaifahamu!


kijana, bunge ni muhimili mwingine tofauti unavyoelewa wewe. Kumbuka hawataruhusu ndani ya bunge na sio nje ya bunge. Tatizo ccm hamna wanasheria wazuri kama ukawa.
 
kijana, bunge ni muhimili mwingine tofauti unavyoelewa wewe. Kumbuka hawataruhusu ndani ya bunge na sio nje ya bunge. Tatizo ccm hamna wanasheria wazuri kama ukawa.
Magufuli anaweza kulivunja Bunge kuwanyoosha,hilo nalo utabisha wewe mtoto?
 
Siyo rahisi kulivunja Bunge.Nadhani kuna kitu ambacho sikijui kinaendelea kutokota.Tuvute subira.
 
kijana, bunge ni muhimili mwingine tofauti unavyoelewa wewe. Kumbuka hawataruhusu ndani ya bunge na sio nje ya bunge. Tatizo ccm hamna wanasheria wazuri kama ukawa.

Wanasheria ukawa bure kabisa.waliwaamonisha watu mita 200 inawezekana wakala mweleka.sasa hivi wanawadanganya nyumbu kuwa lowassa atakua rais
 
Lissu aliponea chupuchupu kule jimboni, safari ya mwisho hii harudi tena mjengoni
 
Raia mwema generali amegeuka kama mzee warioba na butiku ha ha ha!

Raia mwema gazeti makini, waandishi makini na makala makini. Hawatekwi na siasa nyepesi ati kubadili gia angani. Hawakubaliani na huo upuuzi. Raia Mwema keep it up.
 
Nimependa makala ya "Chama kichafu, hakitoi rais msafi" Mengi yameanikwa na kuwekwa wazi kwamba Magufuli hawezi kamwe kuwa rais bora kwa sababu ni tunda la mfumo maalumu ndani ya chama unaoandaa viongozi.

Pamoja na ukweli kwamba kuteuliwa kwake kunaonekana ni kwa bahati mbaya kwa sababu ya siasa za makundi ndani ya chama cha CCM, bado yeye anabaki kuwa tunda la mfumo huo. Hawezi kusimama hadharani kudai anao ubavu wa kuleta mapinduzi na mageuzi ndani ya chama hicho. Hii ni kwa sababu viongozi wa CCM wanasema CCM ina wenyewe. Magufuli SI miongoni mwa wenyewe hao.

Wana CCM wanaotaka kukibadilisha chama huishia na kukutana na wakati mgumu na kuamua kukaa kimya au kujiunga na waliomo katika kudumisha mfumo usioleta mabadiliko katika chama.

Kuna wakati, katika vikao vya ndani ya chama, joto la kutaka mageuzi ndani ya chama lilipopanda kwa kasi, Benjamin Mkapa aliwaonya wanaharakati ndani ya CCM kuwa wasidiriki 'KUFUNUA UCHI WA MAMA YAO' vinginevyo wangelaanika!

Hiyo ndo CCM na mambo yake........ wanatutawala wakijua hatuwataki.....
 
Back
Top Bottom