Gazeti Mwananchi hovyo kabisa

mkuu mbona wapo sahii bila ukawa hakuna maamuzi kwa mujibu wa sheria maana sheria inaelekeza ni wajumbe wote wa pande mbili za muungano
Acheni ujuha, kwani waliobaki bungeni sio wa pande zote za muungano? CCM peke yao wako wa Zanzibar na Bara, hizo sio pande mbili za muungano?
 
mbona hujatuambia ukawa kutoka zanzibar na CCM wa Zanzibar uwiano wao? pili kwa mtazamo wako unafikiri CCM inaweza kutengeneza katiba bila upinzani kuwepo? ulisoma hadi darasa la ngapi?nakushangaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…