Gazeti Mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti Mwanahalisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitendo, Nov 13, 2009.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani wadau hv hili gazeti linapatika mtandaoni au halipo?maana tunakosa habari muhimu sana.
   
 2. K

  Kizito Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lipo gazeti hili lakini mala ya mwisho aliingiza Data tarehe 21/05/2008 baada ya hapo haja update tena. tafuta kwenye http://www.halihalisi.co.tz
  Kubenea unaweza kidogo kutuambia lililokupata hadi ukaacha kutujuza mambo mbalimbali maana huku tuliko hatuwezi kupata magazeti haya maana yanayotuzunguka mengi yameandikwa kinyanja(kinyanja ni lugha inayozungumzwa sana hapa niishipo.)
   
 3. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Toleo la mwisho mtandaoni ni la oktoba 28, 2009 toleo namba 160. http://www.mwanahalisi.co.tz/
   
 4. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nashukuru wadau na nimeona toleo la mwisho ni tareha 11 nov 2011
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo mkuu umeteleza bila shaka.....au...?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lazma iwe hivyo aisee... LOL; au ametelezea 2011... Duh!
   
Loading...