Huwezi kuitenganisha ccm na ufisadi kamwe
tatizo lako unatumia tumbo kufikiriHuwezi kuitenganisha ccm na ufisadi kamwe
ona wenye njaa wenzio mnavyoshindwa kutumia akili zetu kufikiriduuhh! kweli mkuu
Kunywa Maji Kwanza!Kikwete: CCM kumejaa mafisi
Mwakembe: mahakama ya mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza.
kwa nini kila Siku ccm tu, hasa linapokuja suala la ufisadi? ningekuwa msajili Wa vyama vya siasa ningeifuta ccm kama suruhisho la kukomesha ufisadi maana huko ni kama kuna somo la kuiba linafundishwa
chanzo: gazeti la Uhuru linalomilikiwa na ccm
uvccm naomba msinishambulie siyo Mimi Bali chama chenu kinalalamika
tatizo lako unatumia tumbo kufikiri
we jombi unaCHEKESHA sana, hujafikirisha akili yako kuwa msajili wa vyama huteuliwa na mwenyekiti wa CCM? unaanzia mkoa gani kukifuta!!? hahaha
Hiyo kwa ccm sio habari, ccm ni mchwa
Mwambie wewe!we jombi unaCHEKESHA sana, hujafikirisha akili yako kuwa msajili wa vyama huteuliwa na mwenyekiti wa CCM? unaanzia mkoa gani kukifuta!!? hahaha
ona wenye njaa wenzio mnavyoshindwa kutumia akili zetu kufikiri
Kabla ya Kukifuta Utakuwa Umefutika Wewe!Hata kama nikiteuliwa na huyo mwenyekiti nikiamua kufuata sheria mbona kukifuta ni rahisi tu, labda nijiondoe ufahamu
Kunywa Maji Kwanza!
Afu Vuta Pumzi!
Wewe ya CCM Yanakuhusu Nini?
njaa inakusumbua wewe!Mara nyingi wenye njaa hushindwa kuvumilia na hatimaye kukimbilia kuiba, na hivi ndivyo wanavyofanya makada Wa chama chako, ukiwemo na wewe
Kabla ya Kukifuta Utakuwa Umefutika Wewe!
Halafu,
Utaanzia wapi?
Hata ukitangaza umekifuta,tunautangazia umma kuwa unaumwa ugonjwa wa akili na umeanza kuweuka!
Then,tunakupeleka milembe for five years ili uwe "sober",then ukitoka uko unakuwa mtu "makini!"
Rais anateua mtu mwingine na maisha yanaendelea!
njaa inakusumbua wewe!
Unafikiri tukikuteua mwenyekiti wa bodi ya nyuki utakataa!?
Si umemuona Polepole?
njaa inakusumbua wewe!
Unafikiri tukikuteua mwenyekiti wa bodi ya asali utakataa!?
Si umemuona Polepole?
Tutumie akili zenu kufikiri? Mnazo?ona wenye njaa wenzio mnavyoshindwa kutumia akili zetu kufikiri
ona wenye njaa wenzio mnavyoshindwa kutumia akili zetu kufikiri