Gazeti la tarehe 10

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
2,610
Reaction score
6,770
Kijana wa mulugo alitumwa na baba yake akanunue gazeti la tarehe 10, kijana akaenda kwenye kibanda cha gazeti kwa bahati mbaya magazeti ya tarehe 10 yalikuwa Yamekwisha, kwa akili zake fupi akanunua magazeti mawili ya tarehe 5, mzee wa watu anasikitika hana mtoto hapo.
 
Mjomba nimeipenda hiyo...imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…