kikwete mjanja sana,alimstukia dogo njaa,akamteua kamati ya madini na akawaambia wabunge wa ccm waahakikishe wanamchagua mwenyekiti wa pac/poac...kazi iliishia hapo,anajitutumua asionekane ni kibaraka wa ccm lakini kikwete aachi kumkumbusha kama gazeti la ccm lilivyomkumbusha leo...kama ana ubavu awashitaki mzalendo/lumumba.