Gazeti la Mzalendo na Zitto???

Gazeti la Mzalendo na Zitto???

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Kumbe wewe ndiye basi poa
 
Attachments

  • 1436097125722.jpg
    1436097125722.jpg
    72.2 KB · Views: 1,752
wewe unataka waseme SLAA ndie kiboko!! unataka mwandishi apelekwe mabweeee..
 
Dah, kwahiyo zitto kabwe anajigamba yeye ndio kiboko ya wapinzani?kwahiyo adui yake yeye sio ccm? Kweli ccm wanajua namna ya kumtumia pandikizi lao
 
Watu wanahofu sana na why don't you blv yourself? ACT ni mafuriko be ready.
 
Dah, kwahiyo zitto kabwe anajigamba yeye ndio kiboko ya wapinzani?kwahiyo adui yake yeye sio ccm? Kweli ccm wanajua namna ya kumtumia pandikizi lao

Kwa hiyo na Wew unakubaliana na hicho kipeperushi
 
Hivi hiyo ndo ilikuwa maana ya gazeti au wewe mtoa post umeamua kuandika unavyotaka wewe,... Mabavicha hovyo kweli kweli
 
taarifa hii unaweza kuitafasir kwa namna ya unachokifikiria; km ukiwa na positive attitude na upinzan utaelewa kuwa yeye ndiye kinara wa upinzan nchin kwan imethibitishwa na wasomi wa udsm. kwa upande mwingine km unachuki binafsi na muhusika utasema kuwa yeye anapambana na upinzan bado taarfa hii inakupa mwanya wakuliona hivo
 
zitto wewe bingwa wa kuongwa to na matajiri basi hauna jipya .
 
Gazeti la ACT wazalendo hilo limeanzaishwa kumsifia zitto kwamba ni kiboko ya wapinzani
 
Asante, Kumbe ni kiboko ya wapinzani, nimependa kichwa hicho wanaturahisishia kazi
 
Hivi hiyo ndo ilikuwa maana ya gazeti au wewe mtoa post umeamua kuandika unavyotaka wewe,... Mabavicha hovyo kweli kweli

Mwaka huu lazima bavicha wakutoe nundu.
 
taarifa hii unaweza kuitafasir kwa namna ya unachokifikiria; km ukiwa na positive attitude na upinzan utaelewa kuwa yeye ndiye kinara wa upinzan nchin kwan imethibitishwa na wasomi wa udsm. kwa upande mwingine km unachuki binafsi na muhusika utasema kuwa yeye anapambana na upinzan bado taarfa hii inakupa mwanya wakuliona hivo

Kimtokacho mtu ndicho kimjazacho mtu moyo wake ukiangalia mikutano ya Zitto wakati wote anaishambulia CDM ukiangalia wafuasi wake mda wote kwenye mitandao nkuishambulia CDM huwezi kukuta wanaisema ccm hata hata siku moja mikutano yake haiwezi kubugudhiwa magazeti ya serekali na ya ccm hayawezi kumwandika vibaya tafakari chukua atua ccm B
 
Back
Top Bottom