Gazeti la Mwanaspoti lazungumzia inshu ya Simba S.C kupokwa pointi 3.

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Wanaaanza..
"MASHABIKI wa Yanga wamepaniki baada ya kuona watani zao Simba wakianza Ligi Kuu ya Bara kwa ushindi mnono na kukaa kileleni, ghafla wakatafuta nafasi ya kuwaharibia lakini kabla mpango wao haujatiki wakajikuta wakiaibika.

Wanaendelea..
" Unajua ni nini? Kama umepita katika mitandao ya kijamii gumzo kubwa ni utata wa kadi nyekundu ya mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib, lakini TFF likatoa ufafanuzi likisema hakuna longolongo pointi tatu ni za Simba zipo freshi na haina haja ya kusoza..
Awali, mashabiki wa Yanga na wadau wengine wa soka walikuwa wakihoji uhalali wa Ajib kucheza mchezo huo ambao, alitolewa kipindi cha pili kumpisha Federick Blagnon"


Wanamaliza..
" Kauli hiyo ni kama imewanyong’onyesha wanazi wa Jangwani ambao walivimba shingo wakikomalia kwamba, Ajib hakustahili kucheza mchezo huo na ni lazima Msimbazi waziteme pointi zao tatu walizopata kwa Ndanda."

Source: Acheni unaa wenu, Simba ndo hivyo
 
Wapinzani wako ni Toto Africa ,JKT Ruvu na Stand United.Ligi ikishapamba moto utakimbia tu hapa jukwaani
Mkuu mechi ya leo kati ya Wakimataifa na Mazembe imeishaje?
 
1472006460221.jpg

 
1472007085853.jpg

Ni mwendo wa kichurachura tu na kunesa nesa! Maisha ya bwawani safi sana...
 
Wameanza figisu! Acheni mshindi wa ligi apatikane kihalali.Ili tuwe na uwezo wa kupambana vizuri kimataifa.Siyo kila siku kusindikiza tu.
 
Back
Top Bottom