Hata mimi nimeshangaa sana kwani mapato ya magazeti, duniani kote, sio bei ya gazeti bali matangazo ya biashara ndani ya magazeti, na Mwananchi kwa hili wapo juu sana compared na magazeti mengine. Vinginevyo, unaweza hata kulitoa gazeti bure, ili mradi uwe na circulation nzuri tu itakayokupa good ratings.
Kutoka shilingi 5oo mpaka 8oo du ni kali sijui tunaenda wapi ?
Na wasipoweka taarifa zao kwenye mtandao utasoma wapi shehe wangu?
Jamani kwa nini mnaumiza vichwa, Jamii Forums mbona kuna kila kitu, after every second unapata updated news.Na wasipoweka taarifa zao kwenye mtandao utasoma wapi shehe wangu?
Jamani kwa nini mnaumiza vichwa, Jamii Forums mbona kuna kila kitu, after every second unapata updated news.
even hapa news nyingi zinatoka kwenye hayo magazeti.
Sio habari tu..magazeti yana kazi nyingi..sasa chapati, vitumbua na samaki wa kukaanga huku uswazi tutafungia nini?....teh! teh! teh!Jamani kwa nini mnaumiza vichwa, Jamii Forums mbona kuna kila kitu, after every second unapata updated news.
Na wasipoweka taarifa zao kwenye mtandao utasoma wapi shehe wangu?
kwani gazeti lipo moja tu?yapo magazeti kibao ambayo yana ubora kama kawaida.
Nacut down ununuzi wa gazeti hili toka mara 7 kwa wiki hadi tatu tu kwa wiki, j3, j5 na ijumaa baaasi
Kutoka shilingi 5oo mpaka 8oo du ni kali sijui tunaenda wapi ?
Hilo ni ongezeko la asilimia sitini (60%).
Sababu za ongezeko hili bila shaka zitakuwa ni hizi (wenyewe watathibitisha ama kukanusha):
1. Kupanda kwa posho na mishahara ya waandishi wao, wanaofanya kazi kubwa ya kwenda huku na kule kutafuta na kuripoti habari!
2. Kupanda kwa gharama za uendeshaji kufuatia ongezeko la bei ya umeme.