MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Nilitaka kuwasiliana na gazeti la mwanachi na ikanibidi nichukue Gazeti la leo tarehe 10/09/2014 kuangalia namba za simu. Nimeshangaa kuona hamna page inayoonyesha specific number za kupiga kwa mfano kuuliza ofisi za mikoani ili mtu apeleke tangazo n.k sikupata.
Huu ni ubahili au kitu gani kwani kubana page kiasi cha kutoweka hata contact inashangaza. Nimekwenda online nikajaribu kupiga simu iliyopo lakini iko busy mfululizo.
Mnisaidie maeneo ziliko ofisi zenu katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Tanga, Kilimanjaro na Mbeya.
Wao NIPASHE mbona wameweka contact zao including za wahariri mbalimbali na namba ya mkononi ya ofisi za masoko na matangazo?.