sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,261
- 651
Hili gazeti huwa sina haja ya kuangalia vichwa vyake vya habari.
Mkuu link bado sijaipata nimeingia kwenye web yao bado awajaweka,hila haya ni maoni ya mhariri Deodatus Balile,na kama unakumbuka juzi nape alitembelea pale habari corporation na alikutana na huyu balile pamoja na bashe.mkuu mbna ujasoma mpka ndani au kama vp weka link hapa ili tuweze kuona
Gazeti la mtanzania la leo tarehe 8/7/2011 front page kuna maoni kuwa Dr.Slaa hamtendei haki Andrew chenge.Sasa sijaelewa hawa mtanzania wana nia gani?Sijui wanajamvi mnalionaje hili swala,au ndio kazi ya mapacha wa tatu.?
Nadhani utakuwa unamatatizo,either unafikiri kutumia tumbo au bodi.umelitafuta ukalisoma? Au untafuta sifa tu kuwa nawewe leo umepost kitu humu?
gazeti la mtanzania la leo tarehe 8/7/2011 front page kuna maoni kuwa dr.slaa hamtendei haki andrew chenge.
Sasa sijaelewa hawa mtanzania wana nia gani?
Sijui wanajamvi mnalionaje hili swala,au ndio kazi ya mapacha wa tatu.?
Najuzi nape alienda pale kukutana na bashe pamoja na huyo balile.Mmiliki wa mtanzania ni rostam.. Na mkurugenzi ni husen bashe.
Ivo picha halisi inaonekana
Mkuu link bado sijaipata nimeingia kwenye web yao bado awajaweka,hila haya ni maoni ya mhariri Deodatus Balile,na kama unakumbuka juzi nape alitembelea pale habari corporation na alikutana na huyu balile pamoja na bashe.