Gazeti la msema kweli; nyama kuanza kuuzwa kanisani tarehe 1 julai

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Nimepitia gazeti ili nimeshitushwa na habari hii kuwa bucha kufunguliwa makanisani kitoeo cha nyama kupatikana makanisani. Kama kikao cha viongozi kilivyoafikiana.
 
Kuna watu wamekosa shughuli za kufanya na sasa wanatafuta namna kusikika.
 
mbona hujataja toleo namba ngapi na tarehe ipi? Au bandika hapa nasi tuone, usijekuwa unataka rep zetu tu hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom