Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka kuwa gazeti la Propaganda la CHADEMA nilikuwa ni mteja mzuri wa gazeti hili la TANZANIA DAIMA lakini kwa sasa nimekuwa hata kuliona sitaki, kama ilivyo vile vile kwa gazeti la UHURU, nawaomba mhariri mkuu abadilike kwani huko tuendako litakosa soko kabisa na litashindwa kujiendesha.
Mi nadhani kikubwa ni kuliangalia linaandika nini, kwa mfano chadema ikifanya "A" ikaandika Chadema imefanya "B" inabidi kulipuuzia kabisa. Sidhani kama eti kwasababu ni gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema basi lisiandike habari za chadema.Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka kuwa gazeti la Propaganda la CHADEMA nilikuwa ni mteja mzuri wa gazeti hili la TANZANIA DAIMA lakini kwa sasa nimekuwa hata kuliona sitaki, kama ilivyo vile vile kwa gazeti la UHURU, nawaomba mhariri mkuu abadilike kwani huko tuendako litakosa soko kabisa na litashindwa kujiendesha.
Woyowoyo nakusihi ujifunze kuvumilia mawazo usiyoyakubali. Ukipenda kusikia kile tu unachokitaka hutobadilika. Soma yote, UHURU, TANZANIA DAIMA,.......hata yale ya Eric Shigongo, hakika utakuwa unajiweka mahala huru zaidi kimawazo.Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka kuwa gazeti la Propaganda la CHADEMA nilikuwa ni mteja mzuri wa gazeti hili la TANZANIA DAIMA lakini kwa sasa nimekuwa hata kuliona sitaki, kama ilivyo vile vile kwa gazeti la UHURU, nawaomba mhariri mkuu abadilike kwani huko tuendako litakosa soko kabisa na litashindwa kujiendesha.